Wakuu wa mikoa na wakuu wa kilimo wakutana mjini Dar es Salaam

Date

1969-03-13

Authors

Journal Title

Journal ISSN

Volume Title

Publisher

Ministry of Information and Tourism

Abstract

Rais, Julius K. Nyerere alifungua mkutano wa maafisa wakuu wa kilimo na wakuu wa mikoa, uliofanyika mjini Dar es Salaam. Mwalimu alizungumzia juu ya siasa ya ujamaa na maendeleo vijijini.

Description

Available in print form, East Africana Collection, Dr. Wilbert Chagula Library, EAF PER AP 95. T3 I5

Keywords

Mwalimu Nyerere, Ministry of Information and Tourism, Siasa ya Ujamaa, Kilimo

Citation

Wakuu wa mikoa na wakuu wa kilimo wakutana mjini Dar es Salaam (1969, March 13).Ministry of Information and Tourism

Collections