Jinsi kitenzi kinavyojithihirisha katika kiswahili

dc.contributor.authorAlly, Rehema Bakari
dc.date.accessioned2020-03-26T21:36:21Z
dc.date.available2020-03-26T21:36:21Z
dc.date.issued2012
dc.descriptionAvailable in print form, East Africana Collection, Dr. Wilbert Chagula Library, Class mark (THS EAF PL8702.A44)en_US
dc.description.abstractTasinifu hii ni zao la utafiti ulioshughulikia Jinsi Kitenzi ‘kuwa’ Kinavyojidhihirisha katika Kiswahili Kimsingi ripoti hii ya utafiti imcgawanyika katika sura kuu tano. Sura ya kwanza imcshugulikia utangulizi. Kwa ujumla imcangalia kwa upana historia ya lugha ya Kiswahili, tatizo la utafiti na kiunzi cha Nadharia. Sura ya pili imcangazia mapitio mbalimbali ya maandishi na tafiti zilizotangulia zinazohusiana na mada. Sura ya tatu imetalii mbinu anuai zilizotumika kufanya utafiti huu. Sura ya nne imejikita zaidi katika uchanganuzi wa data ulioibua mchango na mawazo mapya ya utafiti huu na sura ya mwisho imetumika kutoa muhtasari na hitimisho la tasinifu nzima. Kwa ujumla matokeo ya utafiti huu yanaonyesha kuwa kitenzi 4kuwa' kinajidhihirisha katika maumbo mbalimbali ambayo huwa na dhima tofauti kulingana na matumizi yake katika lugha ya Kiswahili. Maumbo hayo hubadilika kulingana na wakati na hali mbalimbali ambazo wasemaji wa lugha ya Kiswahili wamejiundia ili kukamilisha haja yao kuu ya mawasiliano. Kiumbo mabadiliko yanajidhihirisha katika wakati uliopo ambapo umbo ‘ni’/‘si’ hutumika kwa nafsi zote tofauti na ilivyo katika vitenzi vingine. Halikadhalika katika wakati uliopo yapo maumbo kama‘yu YtuYm(mu)’ n.k ambayo hutumika hasa katika lahaja za Pwani. Sanjari na hayo, utafiti huu umebaini kuwa kitenzi ‘kuwa’ chaweza kutumika kama kitenzi kikuu (kishirikishi) au kisaidizi kulingana na dhima inachobebeshwa katika tungo. Pia tumeona kuwa vijalizo vyake mara nyingi vyaweza kuwa nomino, kivumishi au wakati mwingine kirai kihusishi. Vilevile hutumika kama kibainishi katika baadhi ya tungo za Kiswahili. Wakati mwingine hujidhihirisha katika hali ya ukapa kwa kutumia umbo sauti. Kwa ujumla utafiti huu umeabaini kuwa kitenzi hiki hujibainisha katika maumbo tofauti tofauti tena wakati mwingine ubadilikaji wake haufuati kanuni au ruwaza zinazoelezeka au kutabirika kwa urahisi.en_US
dc.identifier.citationAlly, R B (2012) Jinsi kitenzi kinavyojithihirisha katika kiswahili, Master dissertation, University of Dar es Salaam. Dar es Salaamen_US
dc.identifier.urihttp://41.86.178.5:8080/xmlui/handle/123456789/8348
dc.language.isootheren_US
dc.publisherUniversity of Dar es Salaam,en_US
dc.subjectSwahili languageen_US
dc.titleJinsi kitenzi kinavyojithihirisha katika kiswahilien_US
dc.typeThesisen_US
Files
Original bundle
Now showing 1 - 1 of 1
Loading...
Thumbnail Image
Name:
Rehema B Ally.pdf
Size:
172.55 KB
Format:
Adobe Portable Document Format
Description:
License bundle
Now showing 1 - 1 of 1
No Thumbnail Available
Name:
license.txt
Size:
1.71 KB
Format:
Item-specific license agreed upon to submission
Description: