Athari za ukristo katika ngoma za kijadi za kabila la Wandali

dc.contributor.authorMasebo, Jubeck Alinine
dc.date.accessioned2021-08-11T11:12:35Z
dc.date.available2021-08-11T11:12:35Z
dc.date.issued2016
dc.descriptionAvailable in print form, East Africana Collection, Dr. Wilbert Chagula Library, Class mark (THS EAF PL8547.N26M37)en_US
dc.description.abstractUtafiti huu una bainisha athari za Ukristo kwa ngoma za kijadi za kabila la Wandali. Wananchi wa kata yakafulena ikingawa na chukuliwa kama kiwakilishi tu cha Wandali popote walipo katika tarafa ya Undali wilaya ya Ileje. Ilikufanikisha kupata data za utafiti huu, mtafiti alitembelea maeneo yaliyoteuliwa katika kata ya kafulena Ikinga ambayo kwa kiasi Fulani yanahusika na ngoma ya Ling; omana dhehebu la Moravian. Mbinu zilizotumika katika kupata data za utafiti huu ni mbinu ya mahojiano/ usaili, mbinu ya kushuhudia na mbinu ya ushiriki. Katika utafiti huu, nadharia ya Sosholojia ilifanikisha uchambuzi sahihi wa data za utafiti. Hivyo mtafiti alifanikiwa kubainisha athari hasi za Ukristo kwa maendeleo ya ngoma za kijadi za kabila la Wandali kwani dhehebu la Moravian linazipiga vita na kuwakata za waumini wake kucheza ngoma hizo. Utafiti huu ulilenga kutafiti “Athari za Ukristo katika ngoma za kijadi za kabila la Wandali” huku ukijiuliza maswali kuwa: Ukristo umeathiri vipi ngoma za kijadi za kabila la Wandali? Utafiti huu ulibaini kwamba kuna matatizo mengine licha ya Ukristo yanayo kwamisha maendeleo ya ngoma za kijadi za kabila la Wandali.Matatizo hayo ni serikali ‘kutokuzijali’ ngoma za kijadi za kabila la Wandali na kuziona kama kazi ya keni kuwaburudisha wageni wao wanapotembelea vijijini, migogoro ya ndani kwandani ya vikundi vya ngoma. Migogoro hiyo mingi ni ya kimadaraka na sababu ya mwisho inayo changia kufifia na kufa kwa ngoma za kijadi za kabila la Wandali ni kuhama na kusafiri kwa vijana wengi kutoka sehemu ya Undali kwenda sehemu nyingine kwa ajili ya makazi na biashara.en_US
dc.identifier.citationMasebo, Jubeck Alinine (2016) Athari za ukristo katika ngoma za kijadi za kabila la Wandali, Master dissertation, University of Dar es Salaamen_US
dc.identifier.urihttp://41.86.178.5:8080/xmlui/handle/123456789/15376
dc.language.isoswen_US
dc.publisherUniversity of Dar es Salaamen_US
dc.subjectNdali languageen_US
dc.subjectNdebele (African people)en_US
dc.subjectChristianityen_US
dc.subjectTraditional Musicen_US
dc.titleAthari za ukristo katika ngoma za kijadi za kabila la Wandalien_US
dc.typeThesisen_US

Files

Original bundle
Now showing 1 - 1 of 1
Loading...
Thumbnail Image
Name:
JUBECK ALININE MASEBO.pdf
Size:
101.3 KB
Format:
Adobe Portable Document Format
Description:
License bundle
Now showing 1 - 1 of 1
No Thumbnail Available
Name:
license.txt
Size:
1.71 KB
Format:
Item-specific license agreed upon to submission
Description: