Tanzania miaka kumi baada ya uhuru

dc.contributor.authorNyerere, Julius kambarage
dc.date.accessioned2020-02-11T08:01:26Z
dc.date.available2020-02-11T08:01:26Z
dc.date.issued1971
dc.descriptionAvailable in print form, East Africana Collection, Dr. Wilbert Chagula Library, Class Mark ( EAF PAM DT438.T33)en_US
dc.description.abstractNilipokuwa Bagamoyo mwezi Desemba,1961 nilitoa tamko ambalo watu wengi walidhani kuwa ni ndoto tupu.Nilisema kuwa kwa muda wa miaka kumi ijayo wananchi wa Tanganyika wataweza kufanya mengi zaidi ya kuendeleza nchi yetu kuliko yote yaliyofanywa na wakoloni katika itatimia itakapofika Desemba 9 Mwaka huu. Je tumeikamilisha ahadi hiyo? Au jambo muhimu zaidi,maisha ya watu wa Tanzania leo yakoje? Tumepiga hatua gani katika kuushinda “umasikini , ujinga na maradhi” nilioutamka siku ile? Na vile vile,katika kujibu maswali hayo, yafaa tujiulize matatizo gani ya maendeleo tuliyoyapta kufika mwaka 1971.en_US
dc.identifier.citationNyerere,J.K (1971)Tanzania miaka kumi baada ya uhuru. Dar es Salaam, TANU National Conference,p.89en_US
dc.identifier.urihttp://41.86.178.5:8080/xmlui/handle/123456789/7012
dc.language.isoenen_US
dc.publisherTANU National Conferenceen_US
dc.subjectTanzaniaen_US
dc.subjectAddressesen_US
dc.subjectessaysen_US
dc.subjectlecturesen_US
dc.titleTanzania miaka kumi baada ya uhuruen_US
dc.typeBooken_US
Files
Original bundle
Now showing 1 - 1 of 1
Loading...
Thumbnail Image
Name:
Tanzania miaka kumi ya Uhuru.pdf
Size:
29.4 MB
Format:
Adobe Portable Document Format
Description:
License bundle
Now showing 1 - 1 of 1
No Thumbnail Available
Name:
license.txt
Size:
1.71 KB
Format:
Item-specific license agreed upon to submission
Description: