Utendaji wa serikali awamu ya tano

Date

2015-11-24

Authors

Journal Title

Journal ISSN

Volume Title

Publisher

Uiversity of Dar es Salaam

Abstract

Magazeti mbalimbali yaelezea utendaji kazi wa Rais awamu ya tano, yaangazia siku 100 za mwanzo za uchapaji kazi wa Rais Magufuli, miongoni mwa mambo aliyohaidi kufanya Rais ni pamoja na kupambana na rushwa, ufisadi, madawa ya kulevya, kuondoa wafanyakazi hewa serikalini, ukusanyaji mapato na ubanaji matumizi, elimu bure kuanzia darasa la kwanza hadi kidato cha nne nk. Yote haya yakiongozwa na kauli mbiu "Hapa Kazi Tu".

Description

Available in print form, East Africana Collection, Dr. Wilbert Chagula Library, Newspaper Collection.

Keywords

Rais Magufuli, Siku 100 za Dk. Magufuli, Hapa kazi tu

Citation

Utendaji wa serikali awamu ya tano (2015, November 24). University of Dar es Salaam

Collections