Souti ya Siti

Date

1988

Journal Title

Journal ISSN

Volume Title

Publisher

CHAWATA

Abstract

'Sauti ya siti' -limepatikana kutoka kwa jina la mwimbaji, Siti Bint saad ambaye alikuwa miongoni mwa wanawake wa kwanza walijitokeza katika usani nchini. Sisi wanawake wa CHAWAHATA tumeona kuwa tumpe wasifi mwanamke huyo kwasababu kwenye zama za kale , wasanii wanawake walikuwa hawapewi wadhifa waliokuwa wanastahili. Aidha neno siti lina maana Mwanamke, Wanawake lazima wapewe Sauti ya kusema wanayotaka na sauti moja wapo ni hili gazeti.

Description

Availalbe in print form

Keywords

Sauti ya Siti, wanawake wakimasai, gazeti la wanawake

Citation

Collections