Ulinganishi wa Kiisimu wa “Lugha” za kibantu za Mara Kaskazini

dc.contributor.authorBoniphase, Alphonce Morango
dc.date.accessioned2020-12-06T13:59:15Z
dc.date.available2020-12-06T13:59:15Z
dc.date.issued2019
dc.descriptionAvailable in print form, East Africana Collection, Dr.Wilbert Chagula Library, class mark (THS EAF PL8025.T34B664)en_US
dc.description.abstractUtafiti huu unahusu "Ulinganishi wa Kiisimu wa "Lugha" za Mara Kaskazini" ili kubaini karna ni lugha zinazojitegemea au ni lahaja tu za lugha moja kuu ya awali. ''Lugha" za Mara Kaskazini zilizolinganishwa ni Kikurya, Kisimbiti, Kikiroobha, Kisweeta, Kikabwa, Kisuba, Kikine na Kikenye. Utafiti huu una malengo mahsusi mawili: kubainisha mfanano na tofauti ya vi gezo vya kiisimu ambavyo ni msamiati wa msingi , mfu mo wa sauti, mfurno wa ngeli , mfumo wa njeo na mfumo wa ukanushi . Lengo la pili ni kuanisha kiwango cha uhusiano kilichopo kinachoweza kubainisha karna ''lu gha" za Mara Kaskazini ni lugha au lahaja. Utafiti urneongozwa na nadharia kuu mbili ambazo ni Nadharia ya Mwachano na Makutano ya Lugha za Kibantu pamoja na nadhariatete ya Ndugu na Nd ugu wa Mbali i liyoasisi wa na M assamba mwaka 2007. Nadharia ya pili ni Isimu Historia-Linganishi i liyoasisi wa na Jones rnwaka 1786. Utafiti huu unategemewa kuwa na umuhi mu kwa wanaisi rnu na wanajami i wal iokuwa wanatatizika kuhusu "lugha" hizi na wale wote wenye kiu ya kutaka kujua namna ya kulinganisha lugha mbalimbali kiisirnu. Aidha, data zautafiti huu zilipatikana uwandani kwa kuhusisha mbinu mbal imbali za utafiti arn bazo nikusikiliza, usaili , hojaji na majad iliano katika majopo. Eneo la utafiti lilihusisha vijiji 14 kutoka katika Wilaya za Tarime, Rorya, Butiama, Musoma Mjini na Musoma Vijijini. Matokeo ya utafiti huu yamedhihi risha kuwa "lugha" zilizolinganishwa si lugha zinazojitegemea, bali ni lahaja zilizotokana na lugha moja ya awali . "Lugha" hizi zimeonesha mfanano wa zaidi ya asilimia sabini (70%). Mfanano huo umezigawa "lugha" hizi katika makundi mawili: kundi la "lugha" za Kikurya, Kisimbiti, Kisweeta, Kikine na Kikenye na kundi la "lugha" za Ki kabwa, Kisuba l na Kikiroobha.Tunapendekeza tafiti zaidi zifanywe katika vipengele kadhaa vya ki isimu ambavyo havikushughulikiwa katika utafiti huu. V ipengel e hivyo, ni kama vile kipengele cha toni. Kipengele hiki kimeonekana kuwa changamani katika "lugha" za Mara Kaskazini, kimeonesha kutofautisha njeo, hivyo kina athari katika matamshi. Suala lingine ni kukosekana kwa "lugha" ya Kishashi, mojawapo ya "lugha" zilizopangwa kuchunguzwa katika utafiti huu lakini haikuwepo kat ika mazingira hal isi kule uwandani na wala wazungumzaji wake, japokuwa eneo la Ushashi lipo.en_US
dc.identifier.citationBoniphase, A .M (2019) Ulinganishi wa Kiisimu wa “Lugha” za kibantu za Mara Kaskazini, Doctoral dissertation, University of Dar es Salaam, Dar es Salaam.en_US
dc.identifier.urihttp://41.86.178.5:8080/xmlui/handle/123456789/13670
dc.language.isoswen_US
dc.publisherUniversity of Dar es Salaamen_US
dc.subjectBantu languagesen_US
dc.subjectLinguisticsen_US
dc.subjectMaraen_US
dc.subjectTanzaniaen_US
dc.titleUlinganishi wa Kiisimu wa “Lugha” za kibantu za Mara Kaskazinien_US
dc.typeThesisen_US
Files
Original bundle
Now showing 1 - 1 of 1
Loading...
Thumbnail Image
Name:
Alphonce Morango Boniphase.pdf
Size:
94.39 KB
Format:
Adobe Portable Document Format
Description:
License bundle
Now showing 1 - 1 of 1
No Thumbnail Available
Name:
license.txt
Size:
1.71 KB
Format:
Item-specific license agreed upon to submission
Description:
Collections