Nafasi ya maana ya dhima katika uainishaji wa nomino za kibantu data toka ki-bondei

dc.contributor.authorMhando, Chiku Jumanne
dc.date.accessioned2020-04-01T09:30:57Z
dc.date.available2020-04-01T09:30:57Z
dc.date.issued2012
dc.descriptionAvailable in print form, East Africana Collection, Dr. Wilbert Chagula Library, Class mark (THS EAF PL8081.M4752 )en_US
dc.description.abstractUtafiti huu unahusu nafasi ya maana/dhima /a uainishaji wa nomino za Kibantu data toka Ki-Bondei. Ki-Bondei ni lugha ya Kibantu inayo/ungumzwa Kaskazini- Magharibi mwa mkoa wa Tanga nchini Tanzania. Jumla ya watafltiwa 40 kutoka katika kijiji cha Kibanda, kijiji cha Semngano, Kijiji cha Kivindo na Kijiji cha Kwasemnyau walitumiwa, uteuzi wao ulikuwa wa kinasibu. Taarifa zimekusanywa kwa watafltiwa kwa njia ya hojaji, mahojiano na ushuhudiaji. Utafiti huu ulikuwa na malengo yafuatayo: kubainisha ngeli za Ki-Bondei na idadi yake kwa kutumia msingi wa kimofolojia na kufafanua dhima mbalimbali zinazojitokeza katika viambishi ngeli vya nomino.Mkabala wa Viambishi Awali vya Nomino ulitumika kwa nia ya kutimiza malengo haya. Mkabala huu wa Viambishi Awali vya Nomino umetumika ili kubainisha viambishi ngeli vya nomino katika misingi ya umoja na wingi. Katika uchunguzi wetu tumebaini kuna ngeli 19 za Ki-Bondei. Pia utafiti huu umebaini kuwa katika lugha ya Ki-Bondei, viambishi ngeli vya nomino vina dhima kama vile umoja/wingi, ukubwa/udogo na uzuri/ubaya. Dhima zote hizi huweza kujitokeza katika kiambishi kimoja kwa wakati mmoja hali Ambayo husababisha kutokea kwa utata.en_US
dc.identifier.citationMhando, C J (2012) Nafasi ya maana ya dhima katika uainishaji wa nomino za kibantu data toka ki-bondei,Master dissertation, University of Dar es Salaam. Dar es Salaamen_US
dc.identifier.urihttp://41.86.178.5:8080/xmlui/handle/123456789/8672
dc.language.isootheren_US
dc.publisherUniversity of Dar es Salaam,en_US
dc.subjectkiswahili languageen_US
dc.subjectkibantuen_US
dc.subjectKi-Bondeien_US
dc.titleNafasi ya maana ya dhima katika uainishaji wa nomino za kibantu data toka ki-bondeien_US
dc.typeThesisen_US
Files
Original bundle
Now showing 1 - 1 of 1
Loading...
Thumbnail Image
Name:
Chiku Jumanne Mhando.pdf
Size:
48.73 KB
Format:
Adobe Portable Document Format
Description:
License bundle
Now showing 1 - 1 of 1
No Thumbnail Available
Name:
license.txt
Size:
1.71 KB
Format:
Item-specific license agreed upon to submission
Description: