North Mara na Maendeleo: Uwezeshaji wa maendeleo endelevu

dc.contributor.authorACACIA
dc.date.accessioned2020-03-23T10:44:09Z
dc.date.available2020-03-23T10:44:09Z
dc.date.issued2014
dc.description.abstractLengo la chapisho hili ni kukupa taarifa kuhusu miradi ya maendeleo ya jamii ambayo imetekelezwa kwa ufadhili wa Mgodi wa North Mara kati ya mwaka 2011 na 2014. Tumetengeneza mfumo ambao sio tu utafanya kampuni kuonekana bali pia ushirikishwaji wa wadau. Ni matumaini yetu kuwa baadhi ya habari zilizomo katika jarida hili zitasaidia kuondoa dhana zilizopo kuwa mgodi haujafanya vyakutosha kusaidia maendeleo ya jamii. Kwa miradi ambayo mgodi umetekeleza katika jamii inayouzunguka hakuna shaka kuwa tumewekeza sana katika miradi mbalimbali kama vile afya, elimu, maendeleo ya miundombinu na miradi endelevu ya kiuchumi.en_US
dc.identifier.citationACACIA (2011). North Mara na Maendeleo: Uwezeshaji wa maendeleo endelevuen_US
dc.identifier.urihttp://41.86.178.5:8080/xmlui/handle/123456789/8050
dc.language.isootheren_US
dc.publisherACACIAen_US
dc.subjectMgodi wa dhahabuen_US
dc.subjectMaendeleo ya jamiien_US
dc.subjectMaendeleo endelevu jamii zinazozunguka mgodien_US
dc.subjectShule ya msingi Nyangotoen_US
dc.subjectShule ya msingi Matareen_US
dc.subjectMgodi wa dhahabu Nort Maraen_US
dc.titleNorth Mara na Maendeleo: Uwezeshaji wa maendeleo endelevuen_US
dc.typeOtheren_US
Files
Original bundle
Now showing 1 - 1 of 1
Loading...
Thumbnail Image
Name:
North Mara na Maendeleo.pdf
Size:
30.09 MB
Format:
Adobe Portable Document Format
Description:
License bundle
Now showing 1 - 1 of 1
No Thumbnail Available
Name:
license.txt
Size:
1.71 KB
Format:
Item-specific license agreed upon to submission
Description: