North Mara na Maendeleo: Uwezeshaji wa maendeleo endelevu

Loading...
Thumbnail Image
Date
2014
Authors
Journal Title
Journal ISSN
Volume Title
Publisher
ACACIA
Abstract
Lengo la chapisho hili ni kukupa taarifa kuhusu miradi ya maendeleo ya jamii ambayo imetekelezwa kwa ufadhili wa Mgodi wa North Mara kati ya mwaka 2011 na 2014. Tumetengeneza mfumo ambao sio tu utafanya kampuni kuonekana bali pia ushirikishwaji wa wadau. Ni matumaini yetu kuwa baadhi ya habari zilizomo katika jarida hili zitasaidia kuondoa dhana zilizopo kuwa mgodi haujafanya vyakutosha kusaidia maendeleo ya jamii. Kwa miradi ambayo mgodi umetekeleza katika jamii inayouzunguka hakuna shaka kuwa tumewekeza sana katika miradi mbalimbali kama vile afya, elimu, maendeleo ya miundombinu na miradi endelevu ya kiuchumi.
Description
Keywords
Mgodi wa dhahabu, Maendeleo ya jamii, Maendeleo endelevu jamii zinazozunguka mgodi, Shule ya msingi Nyangoto, Shule ya msingi Matare, Mgodi wa dhahabu Nort Mara
Citation
ACACIA (2011). North Mara na Maendeleo: Uwezeshaji wa maendeleo endelevu