Rais Nyerere aweka jiwe la msingi Chuo cha Polisi-Moshi
| dc.date.accessioned | 2026-09-17T17:37:14Z | |
| dc.date.issued | 1967-01-19 | |
| dc.description.abstract | Rais wa Tanzania, Julius K. Nyerere aweka jiwe la msingi la chuo cha kufundishia askari polisi mjini Moshi. Gharama ya chuo hicho pamoja na nyumba 91 zikiwa ni pamija na nyumba za watumishi na mabweni ya wanafunzi itakuwa shilingi milioni nane(8).Nusu ya fedha hizo ni msaada toka serikari ya Jamuhuri ya watu wa China Ujenzi unatarajiwa kuisha Julai au agosti 1968 | |
| dc.identifier.citation | (URT,1967) Rais Nyerere aweka jiwe la msingi chuo cha polisi, Information Services division, Ministry of Information and Tourism | |
| dc.identifier.govdoc | 326 | |
| dc.identifier.uri | https://libraryrepository.udsm.ac.tz/handle/123456789/799 | |
| dc.publisher | Information Services division, Ministry of Information and Tourism | |
| dc.subject | Chuo cha Polisi Moshi | |
| dc.subject | Jamuhuri wa watu wa china | |
| dc.subject | Moshi | |
| dc.subject | 1967 | |
| dc.title | Rais Nyerere aweka jiwe la msingi Chuo cha Polisi-Moshi | |
| dc.type | Archive |
Files
Original bundle
1 - 1 of 1
Loading...
- Name:
- Chuo cha Polisi Moshi.pdf
- Size:
- 563.11 KB
- Format:
- Adobe Portable Document Format

