Rais Nyerere aweka jiwe la msingi Chuo cha Polisi-Moshi

Item type:Archive, Access status: Open Access ,

Authors

Editors

Journal Title

Journal ISSN

Volume Title

Publisher

Information Services division, Ministry of Information and Tourism

DOI

Abstract

Rais wa Tanzania, Julius K. Nyerere aweka jiwe la msingi la chuo cha kufundishia askari polisi mjini Moshi. Gharama ya chuo hicho pamoja na nyumba 91 zikiwa ni pamija na nyumba za watumishi na mabweni ya wanafunzi itakuwa shilingi milioni nane(8).Nusu ya fedha hizo ni msaada toka serikari ya Jamuhuri ya watu wa China Ujenzi unatarajiwa kuisha Julai au agosti 1968

Description

Citation

(URT,1967) Rais Nyerere aweka jiwe la msingi chuo cha polisi, Information Services division, Ministry of Information and Tourism

Collections

Endorsement

Review

Supplemented By

Referenced By