Dunia ngumu
Loading...
Date
1969
Authors
Journal Title
Journal ISSN
Volume Title
Publisher
Tanzania Publishing House
Abstract
Dunia ngumu ni hadithi inayoelezea kuhusiana na maisha,mambo yote yaliyoelezwa si mambo yaliyotendeka kweli. halikadhalika majina ya watu ,nchi hata kama yanafanana na watu wa nchi husika hawahusiani na watu wa nchi tunazozijua.Hivyo toka zamani hadithi hutufunza mengi ni matumaini yangu watu watakaosoma watajifunza katika hadithi hii.
Description
Kinapatikana kwenye machapisho ya Kiswahili, maktaba ya Dkt. Wilbert Chagula. Kitengo cha Afrika Mashariki (EAF PAM PL8704.C49D8)
Keywords
Kiswahili language, Fiction, Dunia ngumu
Citation
Chiume, M. W. K.(1969).Dunia ngumu.Tanzania Publishing House,Dar es Salaam.