Jua na Upepo na Hadithi nyingine

Date
1968
Journal Title
Journal ISSN
Volume Title
Publisher
East African Publishing House
Abstract

Masimulizi haya ya kusisimua yameandikwa hasa kwa watoto wa madarasa ya kwanza katika shule za Afrika mashariki. Hadithi hizi zilikusanywa na Anne Matindi, zilikua kwa lugha ya kiingereza na kutafsiriwa na Fred Jim Mdoe katika Lugha ya Kiswahili

Description
Kinapatikana kwenye machapisho ya Kiswahili, maktaba ya Dkt. Wilbert Chagula. Kitengo cha Afrika Mashariki
Keywords
Hadithi, Jua na Upepo
Citation
Matindi, A (1968) Jua na Upepo na Hadithi nyingine, East African Publishing House, Dar es Salaam