Mchakato wa kampeni na matokeo ya uchaguzi mkuu 2005

dc.date.accessioned2020-11-10T12:51:02Z
dc.date.available2020-11-10T12:51:02Z
dc.date.issued2005-12-19
dc.descriptionAvailable in print form, East Africana Collection, Dr. Wilbert Chagula Library, Newspaper Collection.en_US
dc.description.abstractMagazeti mbalimbali yaliyoandikia mchakato mzima wa uchaguzi na matokeo mwaka 2005. Katika kampeni zake Kikwete alihaidi kupiga vita umasikini . Rais Kikwete alishinda uchaguzi kati ya wagombea 10 kutoka vyama vya siasa ambapo nafasi ya pili ilishikwa na mgombea wa CUF Professa Ibrahim Lipumba alipata kura 1, 317,220 sawa na asilimia 1.61 na mgombea kupitia tiketi ya CHADEMA Freeman Mbowe alishika nafasi ya tatu kwa kupata kura 671.780 sawa na asilimia 5.921, Augustino Mrema wa TLP alishika nafasi ya nne na kupata kura 84.131 bila asilimia hata 1. Vyama vingine ni NCCR Mageuzi (56,438), DP (39,990), NLD (21, 525), PPT-Maendeleo (18.741), Democrasia Makini (17,033) na SAU 16,380).en_US
dc.identifier.citationMchakato wa kampeni na matokeo ya uchaguzi mkuu (2005, December 19) University of Dar es Salaamen_US
dc.identifier.urihttp://41.86.178.5:8080/xmlui/handle/123456789/13589
dc.language.isoswen_US
dc.publisherUniversity of Dar es Salaamen_US
dc.subjectRais Kikweteen_US
dc.subjectCCMen_US
dc.subjectCHADEMAen_US
dc.subjectNCCRen_US
dc.subjectCUFen_US
dc.subjectTLPen_US
dc.subjectSAUen_US
dc.subjectDPen_US
dc.subjectNECen_US
dc.titleMchakato wa kampeni na matokeo ya uchaguzi mkuu 2005en_US
dc.typeOtheren_US
Files
Collections