Mashahiri ya Wahenga

Permanent URI for this collection

Browse

Recent Submissions

Now showing 1 - 2 of 2
 • Item
  Diwani ya Lambert
  (East African literature bureau, 1971) Mnyampala, Mathias
  Mashairi ya diwani ya Lambert yameandikwa na mshairi nguli wa mashairi na kuhaririwa na Mathias Mnyampala
 • Item
  Mashairi yangu
  (T.P.M book departmant, 1967) Zani, Z.M.S
  kitabu hiki cha mashairi yangu kina jumla ya mashairi 19 ambayo ni, Jana usiku niliota ndoto, Nilipigwa fumbo najibu kwa fumbo,Mwanangu waenda nchi za mbali, wasia wako baba una mambo si haba, mgeni kumpokea kumbe ni kujitongea, mwizi namchukia sana, Paliondokea mzee hakika, Ndugu watano walizaliwa, fumbo jingine la tatu hili, Aoaye mbali na kwao asipodanganya atadanganyika, Maua, Maskini, Tajiri, Duniani nifanyaje nione raha moyoni? Binadamu hatosheki, Vilima vya shimba, Duniani raha ya mtu katika mambo matatu, Msomaji hodari na Kalamu yangu sasa twaachana