(Mpiga Chapa Mkuu wa Serikali, 1973) Nyerere, Julius Kambarage
Hii ni taarifa iliyotolewa na raisi chama J. K. Nyerere kwenye mkutano mkuu wa TANU mwaka 1973. Taarifa hii ilielezea muendelezo ya nchi na wananchi hasa katika umuhimu wa kuongeza mazao nchini.