Institute of Kiswahili Studies
Permanent URI for this community
Browse
Browsing Institute of Kiswahili Studies by Subject "Almasi ya bandia"
Now showing 1 - 1 of 1
Results Per Page
Sort Options
Item Matumizi ya ishara katika riwaya za S. Chachange: makuadi wa soko huria na almasi za bandia(University of Dar es Salaam, 2011) Rugebandiza, AlfredUtafiti huu unahusu matumizi ya ishara katika riwaya za S.Chachage amabazo ni lmasi za bandia na Makuadi wa soko huria. Utafiti huu unakusudiwa kuchiunguzwa ishara zinazojitokeza na zinavyoweza kupatiwa maana kulingana na hali, historian a mazingira ya msomaji. Malengo ya utafiti huu ni kubainisha na kuainisha ishara zinazojitokeza katika riwaya teule, na kueleza jinsi ishara hizi zinavyojenga dhamira katiklamriwaya zitakazoshughulikiwa. Katika utafit huu mbinu ya maktabani imetumika mtafiti ameweza kusoma, kudurusu vitabu, majarida na nyarak mbalimbali katika makatba ya Chuo Kikuu Cha Dar es Salaam ili kupata data ya kazi yake.Matokeo ya utafiti huu yameonesha kwamba kazi ya fasihi ina urejelezi wan je na ishara hupatiwa maana na kuibua dhamira kulingana na uzoefu, historia, utamaduni na mtazamo wa msomaji. Pia uchambuzi umefanywa kwa kutumia aina tano za ishara za nadharia ya semiotiki zilizopendekezwa na Barthes.Utafiti huu unapendekeza tafiti zaidi kuhusiana na aina nyingine za ishara zilizopendekezwa na wataalamu wengine.