Browsing by Author "Zaidi, N"
Now showing 1 - 1 of 1
Results Per Page
Sort Options
Item Mwasi(Heinemann, 1972) Zaidi, NKijiji cha pachanga kilikuwa kimelogwa na madhehebu ya watu walioamini pepo. hili ilifanyika kwa kuiabudu miungu ya mito na ardhi.Miungu hii iliaminiwa kuongoza maisha ulimwenguni na sudi za maisha ya wanadamu.Hata ajabu za maumbile zilisababishwa na miungu.Mzee matata ndiye aliyekuwa mjumbe baina ya miungu na wanadamu.Mtu mzima huyu aliyekuwa amenenepa na aliyeogopwa na kuheshimiwa na watu wote.Mzee matata alisifika mno kwani ilisadikiwa alikuwa na uwezo wa kuzianzisha nguvu za miungu-nguvu ambazo ziliweza kuyaumbua,kuyaangamiza au kuyaneemesha maisha kwa kunuiza maneno machache