Browsing by Author "Said, Musa"
Now showing 1 - 2 of 2
Results Per Page
Sort Options
Item Archaeological excavation of rock art shelters in Kasoma village, Mara region(University of Dar es Salaam, 2012) Said, MusaPrior to this study, Musoma Rural District had received less attention in terms of archaeological research. It was not until 2002, when the Mara Region Archaeological Reconnaissance Project (MRARP) visited Kasoma village and documented several rock art sites and revealed several surface archaeological deposits of LSA affinity, bone fragments and pottery. Yet nothing was done in terms of establishing the culture history of the area. Therefore, through excavation of two rock shelters (Nyamang’ora and Nyankingi), the results show that Kasoma village was occupied by Later Stone Age (LSA) people who lived in the area around 8,000 to 5,000 bp. This LSA culture is subdivided into Aceramic and Ceramic LSA. Lithic artifacts, pottery and other symbolic revealing objects such as red ochre and dirty white pigments have been used to infer the LSA culture at Kasoma village. The results of this study have contributed to a better understanding of human occupation history in the area and Tanzania in general. The knowledge gaps addressed by this study include a need to formulate a site management plan and need for an ethnographic inquires on the importance of rock shelters to modern time village residents.Item Matumizi ya lugha ya kiswahili isiyo sanifu katika vyombo vya habari nchini Tanzania mifano kutoka katika redio(University of Dar es Salaam, 2014) Said, MusaUtafiti huu umeshughulikia “Matumizi yasiyo sanifu ya lugha ya Kiswahili katika Vyombo vya Habari Nchini Tanzania: Mifano kutoka katika Redio”. Aidha, vituo vya Redio vilivyoshughulikiwa ni East Africa Redio, Clouds FM na Radio One Stereo. Utafiti huu umefanyika Dar es Salaam katika wilaya ya Kinondoni na Ilala na Tanga katika wilaya ya Tanga mjini. Malengo ya utafiti huu ni kuainisha matamshi na msamiati wa lugha ya Kiswahili usio sanifu unaotumiwa wa watangazaji wa redio nchini Tanzania. Pia ulilenga kupendekeza mbinu za kupunguza tatizo la upotoshaji wa matumizi sanifu ya lugha ya Kiswahili ili kukuza lugha ya Kiswahili sanifu. Ili kufikia malengo hayo, utafiti huu umetumia mbinu mbalimbali za ukusanyaji wa data zikiwemo; hojaji, mahojiano na usikilizaji. Nadharia zilizotumika katika utafiti huu ni Nadharia Kidhi Mawasiliano na Nadharia ya Usukuku. Matokeo ya utafiti huu yamebainisha msamiati na matamshi yasiyo sanifu yanayotumiwa na watangazaji wa redio nchini Tanzania. Aidha msamiati huo usio sanifu ni msimbo, Kiingereza, Kiarabu na maneno ya mtaani. Pia, matamshi potofu katika maneno ya Kiswahili ni ukiukwaji wa udondoshaji, uchopekaji, ubadilishaji sauti (fonimu) na uyeyushaji wa maneno sanifu ya Kiswahili. Aidha, utafiti huu umependekeza mbinu za kupunguza tatizo la upotoshaji wa watu.