Repository logo
  • English
  • Català
  • ÄŒeÅ¡tina
  • Deutsch
  • Español
  • Français
  • Gàidhlig
  • Italiano
  • LatvieÅ¡u
  • Magyar
  • Nederlands
  • Polski
  • Português
  • Português do Brasil
  • Srpski (lat)
  • Suomi
  • Svenska
  • Türkçe
  • Tiếng Việt
  • Log In
    New user? Click here to register. Have you forgotten your password?
Repository logo
    Communities & Collections
    All of DSpace
  • English
  • Català
  • ÄŒeÅ¡tina
  • Deutsch
  • Español
  • Français
  • Gàidhlig
  • Italiano
  • LatvieÅ¡u
  • Magyar
  • Nederlands
  • Polski
  • Português
  • Português do Brasil
  • Srpski (lat)
  • Suomi
  • Svenska
  • Türkçe
  • Tiếng Việt
  • Log In
    New user? Click here to register. Have you forgotten your password?
  1. Home
  2. Browse by Author

Browsing by Author "Nzobe, Lucia Raphael"

Now showing 1 - 1 of 1
Results Per Page
Sort Options
  • Loading...
    Thumbnail Image
    Item
    Fasihi simulizi na ukimwi: Mifaano kutoka katika nyimbo za ngoma ya wigashe ya wasukuma
    (University of Dar es Salaam, 2012) Nzobe, Lucia Raphael
    Utafiti huu umechambua nyimbo za ngoma ya Wigashe. Utafiti ulihusisha nyimbo mbalimbaliza ngoma ya Wigashe zinazohusu UKIMWI. Lengo katika utafiti huu lilikuwa ni kuchunguza usawiri wa ugonjwa wa UKIMWI katika nyimbo za ngoma ya Wagashe Data na taaarifaa za utafiti huu zimekusanywa kutoka maktabani na uwandani, na mbinu zilizotumika katika kutupatia data ni mbinu za uchambuzi matini, mbinu ya mahojiano pamoja na majadiliano ya vikundi amabzo zilitupatia data za msingi na data za upili. katika utafiti wetu zimetumika nyimbo nane na uchunguzi wa nyimbo hizo umefanyika kwa kutumiua mkabala wa kimaelezo kwa kuongozwa na nadharia ya Usosholojia. Baada ya uchambuzi wa nyimbo hizo imebainika kuwa dhamira katika nyimbo hizo zinaujadili ugonjwa wa UKIMWI kwa namna mbalimbali. Kuna dhamira zinazohusu sababu za maabukizi, dalili za UKIMWI, ushauri na uhamasishaji juu ya ugonjwa huu na zile zinazozungumzia juu ya tiba ya UKIMWI. Pia, imedhihirika kuwa ushindani katika nyimbo za ngoma ya Wigashe pamoja na matumizi ya tamadhali za semi vimesaidia kwa kiasi kikubwa katika kuibua dhamira mbalimbali zinazohusu ugojwa wa UKIMWI. Mwisho, limetolewa hitimisho la utafiti mzima pamoja na mapendekezo ya maeneo ambayo yanahiotaji kutafitiwa zaidi ili kuweza kukuza uelewa wa nafasi ya kazi za fasihi simulizi za kabila la Wasukuma katika kuzungumzia masuala ya kijamii

About Library

The University of Dar es Salaam Library is a vital source of scholarly information that facilitates users to get access to learning and research resources during their studies. It provides access to a wide range of resources in both print and digital formats and conducive reading environment for users, regardless of their physical conditions. All registered users are eligible to access library resources and can borrow print materials from general shelves for a specific period of time.

Useful Links

Koha Staff Login

University Research Repository

WebMail

Aris

Book Study Room

Mara Oral History

Hansard

SOCIAL MEDIA

Instagram

Facebook

Twitter

YouTube

WhatsApp

Ask Librarian

Contact Us

Postal Address
P.O.Box 35092
Dar es Salaam

Call Us: +255 22 2410500/9 Ext. 2165 ; Direct line +255 22 2410241

Fax No:: +255 22 2410241

Email:: directorlibrary@udsm.ac.tz

2025 University of Dar es Salaam - University Of Dar Es Salaam Library
Term of use / Privacy Policy