Browsing by Author "Nyerere, Julius. K"
Now showing 1 - 9 of 9
Results Per Page
Sort Options
Item Awamu ya pili ya mradi wa kuimarisha chama(Makao Makuu, Dodoma Ofisi ya Katibu Mkuu wa CCM, 1987) Nyerere, Julius. KKitabu hichi kina hotuba mbili zilizotolewa na mwenyekiti wa chama cha mapinduzi Mwalimu Julius Kambarage Nyerere katika kuhimiza utekelezaji wa mradi wa kuimarisha chama.Hotuba hizo alizitoa mjini Moshi tarehe 20 septemba 1987 na Dodoma tarehe 25 1987Item Bunge la azimio: hotuba ya Rais katika Bunge(Mpiga Chapa Mkuu wa Serikali, 1970-07-06) Nyerere, Julius. KHii ni Hotuba ya bunge iliyotolewa na Mwalimu Julius Kambarage Nyerere tarehe 6, Julai 1970.Item Bunge la mapambano; Hotuba ya Rais Julius K. Nyerere kwenye bunge(Mpiga Chapa Mkuu wa Serikali, 1980-07-22) Nyerere, Julius. KHii ni hotuba ya bunge iliyotolewa na raisi Julius K Nyerere tarehe 22 julai 1980.Item Chama cha Mapinduzi:Address by Mwalimu J.K Nyerere, Chairman of Chama Cha Mapinduzi at the opening of the National Conference Dodoma,22nd October, 1987(Government printer, 1987) Nyerere, Julius. KIt is a report which addressed by Mwalimu at Dodoma in 22nd october 1987. The aims of this was to set direction for the next five years work. It was manner to conduct business and its decision, must reflect with Chama Cha Mapinduzi to socialism and self-reliance.Item Hotuba ya Skukuu ya Jamhuri(Idara kuu ya Hisabati, 1096-12-09) Nyerere, Julius. KHii ni hotuba ambayo ilitolewa na Raisi Julius K Nyerere, siku ya sikukuu ya jamhuri, tarehe 9 mwezi wa 12 mwaka 1963.Item Kilio cha Uhuru(Mpiga Chapa Mkuu wa Serikali, 1956-12-20) Abedi, S. K; Nyerere, Julius. KHii ni hotuba ya Mwalimu Julius Kambarage Nyerere iliyotolewa tarehe 20, Desemba mwaka 1956 na kutafsiriwa kwa kiswahili na Sheikh K. Amri Abedi.Item Kujitawala ni Kujitegemea(Mpiga Chapa Mkuu wa Serikali, 1987-02-05) Nyerere, Julius. KHii ni hotuba ya Mwalimu Julius K. Nyerere aliyekuwa mwenyekiti wa chama cha mapinduzi. Ilitolewa tarehe 5 february, 1987, wakati wa sherehe za miaka 20 ya kutangazwa kwa Azimio la Arusha na miaka kumi ya kuzaliwa kwa Chama Cha Mapinduzi.Item Maendeleo ya uchumi na siasa za watanzania(Mpiga Chapa Mkuu wa Serikali, 1966-06) Nyerere, Julius. KHichi ni kitabu kilichoeleza misingi ya imani na maendeleo ya uchumi ya Tanzania, kilichoandikwa na Mwalimu Juilus K. Nyerere mwaka 1966.Item Mpando wa sherehe ya kutawazwa kwa raisi(Government printer, 1965-10-01) Nyerere, Julius. KHichi ni kitabu kilichoeleza mpango wa sherehe za kutawazwa kwa raisi Julius Kambarage Nyerere oktoba, 1965