Repository logo
  • English
  • Català
  • ÄŒeÅ¡tina
  • Deutsch
  • Español
  • Français
  • Gàidhlig
  • Italiano
  • LatvieÅ¡u
  • Magyar
  • Nederlands
  • Polski
  • Português
  • Português do Brasil
  • Srpski (lat)
  • Suomi
  • Svenska
  • Türkçe
  • Tiếng Việt
  • Log In
    New user? Click here to register. Have you forgotten your password?
Repository logo
    Communities & Collections
    All of DSpace
  • English
  • Català
  • ÄŒeÅ¡tina
  • Deutsch
  • Español
  • Français
  • Gàidhlig
  • Italiano
  • LatvieÅ¡u
  • Magyar
  • Nederlands
  • Polski
  • Português
  • Português do Brasil
  • Srpski (lat)
  • Suomi
  • Svenska
  • Türkçe
  • Tiếng Việt
  • Log In
    New user? Click here to register. Have you forgotten your password?
  1. Home
  2. Browse by Author

Browsing by Author "Mwambapa, Elisha"

Now showing 1 - 2 of 2
Results Per Page
Sort Options
  • Loading...
    Thumbnail Image
    Item
    Ulinganishi wa Kiisimu katika Lahaja za Ki- Ngonde na KI- Mwamba za lugha ya Kinyakyusa
    (University of Dar es Salaam, 2016) Mwambapa, Elisha
    Utafiti huu ulikuwa ni mchakato wa kuchunguza mfanano na tofauti za kiisimu baina ya lahaja yak i-ngonde na ki-mwamba ili kuthibitisha kama ki-ngonde na ki-mwamba ni lahaja za lugha moja, ni lugha mbili tofauti au sio lahaja bali ni lugha moja tu. Utafiti huu umefanyika katika vijiji vya ndala na lugombo katika wilaya ya rungwe na vijiji vya ngeleka na makwale katika wilaya ya kyela katika mkoa wa mbeya. Mbinu za utafiti zilihusu usampulihaji na sampuli na mbinu za ukusanyaji data na mbinu za uchambuzi wa data. Data ya utafiti iliyohusika katika utafiti huu ni data ya kutoka uwandani ambapo maswali mbalimbali yaliulizwa ili kujazwa na watoa taarifa. Msamiati wa lugha ya Kiswahili uliteuliwa ili watoa taarifa waingize ulitumia pia data ya maktabani, (upitia maandiko, kazi hii imegawanyika katika sura ya tano. Sura ya kwanza inaeleza juu ya kiini cha tatizo na mbinu ambazo zimetumika katika kufikia mahitimisho. Sura ya pili imeshughulika mapitio mbalimbali ya maandiko yanayohusu lahaja katika lugha za kibantu ambazo zimewahi kuandikiwa. Sura ya tatu imejihusisha na kujadili mbinu za kukusanya data na mbinu zilizotumika kuchanganua data. Sura ya nne imeshughulikia uwasilishaji na uchanguzi wa data. Data za uwandani zimechanganuliwa kwa njia ya maelezo na majedwali. Uchanganuzi huu wa data umeongozwa na nadharia ya isimu liunganishi na nadharia tete ya ndugu wa karibu na ndugu wa mbali ya nadharia ya makutano na mwachano. Sura ya tano imeshughulikia matokeo ya utafiti yamebainisha kuwa ki-ngonde na ki-mwamba ni lahaja zinazokaribiana sana zenye tofauti ndogo ndogo sana. Kutokana na matokeo hayo tunahitimisha kuwa ki-ngonde na ki-mwamba ni lahaja za lugha ya kinyakyusa zenye tofauti ndogo ndogo.
  • Loading...
    Thumbnail Image
    Item
    Ulinganishiwa Kiisimu katika Lahaja za kingondena ki-mwamba za lugha ya Kinyakyusa
    (University of Dar es Salaam, 2016) Mwambapa, Elisha
    Utafiti huu ulikuwa ni mchakato wa kuchunguza mfanano na tofauti za kiisimu baina ya lahaja ya Ki-Ngondena Ki-Mwamba ilikuthibitisha kama Ki-Ngondena Ki-Mwamba ni lahaja za lugha moja, ni lugha mbili tofauti au sio lahaja bali ni lugha moja tu. Utafiti huu umefanyika katika vijiji vya Ndalana Lugombo katika wilaya ya Rungwe na vijiji vya Ngeleka na Makwale katika wilaya ya Kyela katika mkoa wa Mbeya. Mbinu za utafiti zilihusu usampulishaji na sampuli, na mbinu za ukusanyaji data na mbinu za uchambuzi wa data. Data ya utafiti iliyohusika katika utafiti huu ni data ya kutoka uwandani ambapo maswali mbalimbali yaliulizwa ilikujazwa na watoa taarifa. Msamiati wa lugha ya Kiswahili uliteuliwa ili watoa taarifa waingize tafsiri ya lugha ya Kinyakyusa kwa kufuata lahaja wanazozitumia. Utafiti huu ulitumia pia data ya Kinyakyusa kwa kufuata lahaja wanazo zitumia. Utafiti huu ulitumia pia data ya maktabani, (upitia maandiko. Kazi hii imegawanyika katika sura tano. Sura ya kwanza inaeleza juu ya kiini cha tatizo na mbinu ambazo zimetumika katika kufikia mahitimisho. Sura ya pili imeshughulikia mapito mbalimbali ya maandiko yanayohusu lahaja katika lugha za kibantu ambazo zimewahi kuandikiwa. Sura ya tatu imejihusisha na kujaadili mbinu mbalimbali za utafiti ambazo ni sampuli na usampulishaji mbinu za kukusanya data ni mbinu zilizotumika kuchanganua data. Suraya nne imeshughulikia uwasilishaji na uchanganuzi wa data. Data za uwandani zimechanganuliwa kwa njia yamaelezo na majedwali. Uchanganuzi huu wa data umeongezwa na. Nadharia ya Isimu Linganishi na Nadharia Tete ya Ndugu wa karibu na Ndugu wa Mbali ya Nadharia ya makutano na Mwachano. Sura ya tano imeshulikia matokeo ya utafiti, hitimisho na mapendekezo ya tafiti fuatishi. Matokeo ya utafiti yamebainisha kuwa Ki-Ngondena Ki-Mwamba ni lahaja zinazokaribiana sana zenye tofauti ndogondogo sana. Kutokana na matokeo hayo tunahitimisha kuwa Ki-Ngondena Ki-Mwamba n ilahaja za lugha ya Kinyakyusa zenye tofauti ndogondogo.

About Library

The University of Dar es Salaam Library is a vital source of scholarly information that facilitates users to get access to learning and research resources during their studies. It provides access to a wide range of resources in both print and digital formats and conducive reading environment for users, regardless of their physical conditions. All registered users are eligible to access library resources and can borrow print materials from general shelves for a specific period of time.

Useful Links

Koha Staff Login

University Research Repository

WebMail

Aris

Book Study Room

Mara Oral History

Hansard

SOCIAL MEDIA

Instagram

Facebook

Twitter

YouTube

WhatsApp

Ask Librarian

Contact Us

Postal Address
P.O.Box 35092
Dar es Salaam

Call Us: +255 22 2410500/9 Ext. 2165 ; Direct line +255 22 2410241

Fax No:: +255 22 2410241

Email:: directorlibrary@udsm.ac.tz

2025 University of Dar es Salaam - University Of Dar Es Salaam Library
Term of use / Privacy Policy