Repository logo
  • English
  • Català
  • ÄŒeÅ¡tina
  • Deutsch
  • Español
  • Français
  • Gàidhlig
  • Italiano
  • LatvieÅ¡u
  • Magyar
  • Nederlands
  • Polski
  • Português
  • Português do Brasil
  • Srpski (lat)
  • Suomi
  • Svenska
  • Türkçe
  • Tiếng Việt
  • Log In
    New user? Click here to register. Have you forgotten your password?
Repository logo
    Communities & Collections
    All of DSpace
  • English
  • Català
  • ÄŒeÅ¡tina
  • Deutsch
  • Español
  • Français
  • Gàidhlig
  • Italiano
  • LatvieÅ¡u
  • Magyar
  • Nederlands
  • Polski
  • Português
  • Português do Brasil
  • Srpski (lat)
  • Suomi
  • Svenska
  • Türkçe
  • Tiếng Việt
  • Log In
    New user? Click here to register. Have you forgotten your password?
  1. Home
  2. Browse by Author

Browsing by Author "Mkinga, Silvester"

Now showing 1 - 1 of 1
Results Per Page
Sort Options
  • No Thumbnail Available
    Item
    Changamoto katika kutafsiri dhana za kiutamaduni mifano kutoka kitabu cha mwana mdogo wa mfalme
    (Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, 2013) Mkinga, Silvester
    Tafsiri ni njia mojawapo ya mawasiliano inayohusisha lugha zaidi ya moja. Kwa kuwa kila lugha ina utamaduni wake, tafsiri pia inahusisha tamaduni zaidi ya moja. Utafiti huu umechunguza changamoto zilizojitokeza katika kutafsiri dhana za kiutamaduni kupitia methali, misemo na istilahi mbalimbali kutoka lugha ya Kifaransa kwenda lugha ya Kiswahili, lugha ambazo zina tofauti kubwa za kiutamaduni. Utafiti huu ni utafiti usio wa kitakwimu uliofanyika maktabani. Data zimekusanywa na kuchanganuliwa kwa njia ya maelezo kwa kutumia nadharia ya mawasiliano ya Ukubalifu (Relevence Theory) iliyoanzishwa na Sperber na Wilson mwaka 1986. Utafiti huu umegundua kuwa changamoto za kutafsiri methali, misemo na istilahi mbalimbali zinatokana na sababu nyingi. Miongoni mwa sababu hizo ni ugumu wa kupata visawe kutokana na tofauti za mila na desturi baina ya lugha chanzi na lugha lengwa, tofauti za kimazingira na tofauti za miundo ya tungo. Mfasiri ametumia mbinu kadhaa ili kukabiliana na changamoto hizo. Mbinu zilizotumika ni pamoja na kutumia maelezo ya ufafanuzi, kutohoa maneno, kuongeza vipengele ili kutia uzito katika matini lengwa na kutumia maneno yenye ufanano wa maana au matumizi katika lugha lengwa. Tunaamini kuwa changamoto na mbinu zilizotumika katika kukabiliana na changamoto hizo ambazo tumezijadili katika utafiti huu zitakuwa msaada kwa wafasiri na watafiti wa uwanja wa taaluma ya tafsiri katika kuboresha kazi zao.

About Library

The University of Dar es Salaam Library is a vital source of scholarly information that facilitates users to get access to learning and research resources during their studies. It provides access to a wide range of resources in both print and digital formats and conducive reading environment for users, regardless of their physical conditions. All registered users are eligible to access library resources and can borrow print materials from general shelves for a specific period of time.

Useful Links

Koha Staff Login

University Research Repository

WebMail

Aris

Book Study Room

Mara Oral History

Hansard

SOCIAL MEDIA

Instagram

Facebook

Twitter

YouTube

WhatsApp

Ask Librarian

Contact Us

Postal Address
P.O.Box 35092
Dar es Salaam

Call Us: +255 22 2410500/9 Ext. 2165 ; Direct line +255 22 2410241

Fax No:: +255 22 2410241

Email:: directorlibrary@udsm.ac.tz

2025 University of Dar es Salaam - University Of Dar Es Salaam Library
Term of use / Privacy Policy