Browsing by Author "Gazeti la Wanawake Tanzania"
Now showing 1 - 1 of 1
Results Per Page
Sort Options
Item Souti ya Siti(CHAWATA, 1988) Gazeti la Wanawake Tanzania'Sauti ya siti' -limepatikana kutoka kwa jina la mwimbaji, Siti Bint saad ambaye alikuwa miongoni mwa wanawake wa kwanza walijitokeza katika usani nchini. Sisi wanawake wa CHAWAHATA tumeona kuwa tumpe wasifi mwanamke huyo kwasababu kwenye zama za kale , wasanii wanawake walikuwa hawapewi wadhifa waliokuwa wanastahili. Aidha neno siti lina maana Mwanamke, Wanawake lazima wapewe Sauti ya kusema wanayotaka na sauti moja wapo ni hili gazeti.