Repository logo
  • English
  • Català
  • Čeština
  • Deutsch
  • Español
  • Français
  • Gàidhlig
  • Italiano
  • Latviešu
  • Magyar
  • Nederlands
  • Polski
  • Português
  • Português do Brasil
  • Srpski (lat)
  • Suomi
  • Svenska
  • Türkçe
  • Tiếng Việt
  • Log In
    New user? Click here to register. Have you forgotten your password?
Repository logo
    Communities & Collections
    All of DSpace
  • English
  • Català
  • Čeština
  • Deutsch
  • Español
  • Français
  • Gàidhlig
  • Italiano
  • Latviešu
  • Magyar
  • Nederlands
  • Polski
  • Português
  • Português do Brasil
  • Srpski (lat)
  • Suomi
  • Svenska
  • Türkçe
  • Tiếng Việt
  • Log In
    New user? Click here to register. Have you forgotten your password?
  1. Home
  2. Browse by Author

Browsing by Author "Emanuel, Gaudensia"

Now showing 1 - 2 of 2
Results Per Page
Sort Options
  • Loading...
    Thumbnail Image
    Item
    Fomula simulizi katika tendi andishi za Kiswahili: Mifano kutoka utenzi wa rasi ‘lghuli na utenzi wa vita vya wadachi kutamalaki mrima
    (University of Dar es Salaam, 2013) Emanuel, Gaudensia
    Utafiti huu umejadili Fimula Simulizi katika Tendi Andishi za Kiswahili kwa kutumia mifano kutoka Utenzi wa Rasi ‘lGhuli na Utenzi wa Vita vya Wadachi Kutamalaki Mrima. Utafiti huu ulitumia mbinu ya maktabani, ambapo matini nyingi zilisomwa ili kupata ruwaza ya jumla kuhusu Fomula Simulizi katika tendi andishi za Kiswahili. Utafiti huu umeongozwa na nadharia ya Fomula Simulizi. Nadharia hii iliibuka kutokana na tatizo la Homer kati ya karne ya 19 na 20. Aidha waasisi wa nadra hii wanadai kwamba, mtendaji wa tendi simulizi mrefu huweza kutunga utungo mrefu papo kwa papo kwa kutumia Fomula Simulizi. Utafiti umabaini kuwa sifa za fomula simulizi katika tendi andishi za Kiswahili ni kuwa hutosheleza kigezo cha urefu, vina na mizani na hufanya utunzi kusadifu usimullizi. Pia umegundua utokeaji wa vipengele mbalimbali vya fomula simulizi katika tendi andishi za Kiswahili kama vile topo, Uradidi na unyambulishaji. Aidha dhima ya fmula simulizi katika tendi andishi za Kiswahili zimebainishwa. Utafiti umefihitimishi kwamba, utokeaji wa Fomula Simulizi katika Tendi andishi za Kiswahili na tendi simulizi unafanana kwa kiasi kikubwa sana ingawa kipengele kinachotawala zaidi katika tendi andishi za Kiswahili ni topo. Ingawa utunzi wa tendi andishi na simulizi ni tofauti sana, matuizi ya fomula Simulizi katika tendi andishi za Kiswahili hayawezi kukwepeka kwani tendi zote zinahusika na usimulizi. Tunapendekeza kuwa uchambuzi wa tendi simulizi usitofautishwe sana na uchambuzi wa tendi andishi ingawa utunzi wa tendi hizo ni tofauti kabisa. Tunasema hivyo kwa sababu utafiti huu imebainika kuwa vipengele vya fomula simulizi vilivyojitokeza katika tendi andishi ndivyo hujitokeza katika tendi simulizi. Pia sifa na dhima ya matumizi ya fomula simulizi katika tendi andishi zinawiana kwa kiasi kikubwa na za tendi simulizi.
  • Loading...
    Thumbnail Image
    Item
    Fomula simulizi katika tenzi andishi za Kiswahili : mifano kutoka utenzi wa rasi' Lghuli na utenzi wa vita vya wadachi kutamalaki Mrima
    (University of Dar es Salaam, 2013) Emanuel, Gaudensia
    Utafiti huu umejadili Fomula Simulizi katika Tendi Andishi za Kiswahili kwa kutumia mifano kutoka Utenzi wa Rasi '1Ghuli na Utenzi wa Vita vya Wadachi Kutamalaki Mrima. Utafiti huu ulitumia mbinu ya maktabani, ambapo matini nyingi zilisomwa ili kupata ruwaza ya jumla kuhusu Fomula Simulizi katika tendi andishi za Kiswahili. Utafiti huu umeongozwa na nadharia ya Fomula Simulizi. Nadharia hii iliibuka kutokana na tatizo la Homer kati ya karne ya 19 na 20. Aidha waasisi wa nadharia hii wanadai kwamba, mtendaji wa tendi simulizi mrefu huweza kutunga utungo mrefu papo kwa papo kwa kutumia Fomula Simulizi. Utafiti umebaini kuwa sifa za fomula simulizi katika tench andishi za Kiswahili ni kuwa hutosheleza kigezo cha urefu, vina na mizani na hufanya utunzi kusadifu usimulizi. Pia umegundua utokeaji wa vipengele mbalimbali vya fomula simulizi katika tenth andishi za Kiswahili kama vile topo, uradidi na unyambulishaji. Aidha dhima ya fomula simulizi katika tendi andishi za Kiswahili zimebainishwa.Utafiti umehitimisha kwamba, utokeaji wa Fomula Simulizi katika Tendi andishi za Kiswahili na tendi simulizi unafanana kwa kiasi kikubwa sana ingawa kipengele kinachotawala zaidi katika tendi andishi za Kiswahili ni topo. Ingawa utunzi wa tendi andishi na simulizi ni tofauti sana, matumizi ya fomula Simulizi katika tendi andishi za Kiswahili hayawezi kukwepeka kwani tendi zote zinahusika na usimulizi. Tunapendekeza kuwa uchambuzi wa tendi simulizi usitofautishwe sana na uchambuzi wa tendi andishi ingawa utunzi wa tendi hizo ni tofauti kabisa. Tunasema hivyo kwa sababu utafiti huu imebainika kuwa vipengele vya fomula simulizi vilivyojitokeza katika tendi andishi ndivyo hujitokeza katika tendi simulizi. Pia sifa na dhima ya matumizi ya fomula simulizi katika tenth andishi zinawiana kwa kiasi kikubwa na za tendi simulizi.

About Library

The University of Dar es Salaam Library is a vital source of scholarly information that facilitates users to get access to learning and research resources during their studies. It provides access to a wide range of resources in both print and digital formats and conducive reading environment for users, regardless of their physical conditions. All registered users are eligible to access library resources and can borrow print materials from general shelves for a specific period of time.

Useful Links

Koha Staff Login

University Research Repository

WebMail

Aris

Book Study Room

Mara Oral History

Hansard

SOCIAL MEDIA

Instagram

Facebook

Twitter

YouTube

WhatsApp

Ask Librarian

Contact Us

Postal Address
P.O.Box 35092
Dar es Salaam

Call Us: +255 22 2410500/9 Ext. 2165 ; Direct line +255 22 2410241

Fax No:: +255 22 2410241

Email:: directorlibrary@udsm.ac.tz

2025 University of Dar es Salaam - University Of Dar Es Salaam Library
Term of use / Privacy Policy