Browsing by Author "Bichwa, Sail Simon"
Now showing 1 - 1 of 1
Results Per Page
Sort Options
Item Toni Katika Vitenzi Vya Lugha(University of Dar es Salaam, 2016) Bichwa, Sail SimonTasnifu hii ni zao la utafiti uliochunguza utokeaji wa ‘’Toni katika vitenzi vya lugha ya Giha’’. Tafiti zilizokwisha kufanyika katika lugha ya Giha zinabainisha kuwa lugha hii ina toni. Pamoja na kubainisha hivyo, tafiti hizo hazikubainisha kiimbotoni msingi cha lugha hii wala kufafanua silabi inayohusishwa na kiinitoni. Aidha tafiti hizo hazikueleza kanuni mbalimbali za kitoni ambazo zinazojitokeza katika luwaza ya Toni. Utafiti huuu umejikita katika kuziba pengo Hilo. Katika kuziba pengo hili, tunajenga hoja kwamba ruwaza ya Toni katika vitenzi vya lugha ya Giha huanza na tonichini, kisha tonijuu na kuishia na tonichini tena. Kwa maana hyo, Kiimbotoni Msingi cha lugha ya Giha ni Chini Juu Chini (CJC). Aidha Katya lugha hii kiinitoni kinahusishwa na tonichini ya upande wa kushoto katika kiimbotoni msingi.