Repository logo
  • English
  • Català
  • ÄŒeÅ¡tina
  • Deutsch
  • Español
  • Français
  • Gàidhlig
  • Italiano
  • LatvieÅ¡u
  • Magyar
  • Nederlands
  • Polski
  • Português
  • Português do Brasil
  • Srpski (lat)
  • Suomi
  • Svenska
  • Türkçe
  • Tiếng Việt
  • Log In
    New user? Click here to register. Have you forgotten your password?
Repository logo
    Communities & Collections
    All of DSpace
  • English
  • Català
  • ÄŒeÅ¡tina
  • Deutsch
  • Español
  • Français
  • Gàidhlig
  • Italiano
  • LatvieÅ¡u
  • Magyar
  • Nederlands
  • Polski
  • Português
  • Português do Brasil
  • Srpski (lat)
  • Suomi
  • Svenska
  • Türkçe
  • Tiếng Việt
  • Log In
    New user? Click here to register. Have you forgotten your password?
  1. Home
  2. Browse by Author

Browsing by Author "Amanzi, Mussa Omari"

Now showing 1 - 2 of 2
Results Per Page
Sort Options
  • Loading...
    Thumbnail Image
    Item
    Muundo na dhima ya vielezi katika kiswahili
    (University of Dar es salaam, 2016) Amanzi, Mussa Omari
    Tasinifu hii ni Matokeo ya utafiti ulioshughulikia muundo na dhima ya vielezi katika Kiswahili na imegawanyika katika sura tano. Sura ya kwanza imeshughulikia tatizo la utafiti na kiunzi cha nadharia kilichotumika katika uchambuzi wa mada. Sura ya pili imefanya mapitio ya maandiko mbalimbali yaliyoibua utafiti huu.sura ya tatu imefafanua mbinu anuwai zilizotumika kuendesha utafiti huu, sura ya nne imejihusisha na uchanganuzi wa data ulioibua mchango mpya wa utafiti huu ambapo sura ya mwisho imefunga mjadala kwa kutoa muhtasari wa tasinifu nzima na ushauri kwa utafiti mwingine unaonekana na utafiti huu. Matokeo y a utafiti huu yanaonesha kuwa, kimofolojia, vielezi vya Kiswahili vinaweza kuundwa kwa kuongeza(ki-) mwaanzoni mwa baadhi ya nomino au vivumishi; kuongeza (ku-) mwanzoni mwa baadhi ya vimilikishi; kuongeza (vi-) mwanzoni mwa baadhi ya vivumishi; kuongeza kiangami (-ni) mwishoni mwa baadhi ya nomino za muelekeo na baadhi ya maneno yasiyo na kategoria yoyote (vieleziasilia/ushadidi). Matokeo ya utafiti huu yameonesha kuwa kisintaksia , baadhi ya mafungu ya maneno hufanya kazi za uelezi kamavile kirai elezi ambacho kinaweza kuundwa na kielezi peke yake; kielezi zaidi ya kimoja; mfano E + E,(anakula vizuri sana), E + E + E, ( anampiga paka sokoni asubuhi mapema); kielezi pamoja na kihusishi E + H , (anachuma maua juu ya mti) E + E + H, (anafundisha somo vizuri sana mbele ya darasa); kirai husishi elezi (anacheza mpira kwa madaha), pia, kishazi elezi ambacho huundwa kwa kuanza na maneno ya viunganishi vinavyounganisha sentensi zaidi ya moja ndani ya sentensi moja, ambavyo vinachanuza utegemezi 9kishazi tegemezi), kama vile japokuwa, ingawa kwa sababu kama na mengine mengi; mfano (juma anakula chakula, ingawa anaumwa tumbo), si hivyo tu, bali kisintaksia, utafiti umeonesha namna ya utokeaji wa vielezi katika tungo za Kiswahili kwa vielezi kuhamahama kwa kuwa mwanzo, kati au mwisho; (N + T+E) N+T+E+N )(E+N+T+N) kuhamahama huku kunategemea zaidi kama vielezi vinaelezea neon tu au sentensi nzima au yambwa lakini hutokea kukaa karibu na kijalizo chake(antecedent) na wakati mwingine hukubali kukaa mwanzoni mwa tungo. Matokeo ya utafiti huu yameonesha pia, kisemantiki, vielezi vina dhima mbalimbali katika tungo za Kiswahili. Dhima kuu ya vielezi ni kueleza zaidi kuhusu kitenzi, kivumishi, kielezina sentensi nzima kwa kukumisha umahali, uwakati, uidadi na unamna. Pia, utafiti umeeleza maana mahususi zinazojitokeza wakati vielezi vinapohamahama kwa kuwa mwanzo, kati au mwisho. Kwa ujumla, vielezi katika lugha ya Kiswahili vina miundo yake maalumu na dhima zinazojipambanua katika lugha ya Kiswahili tu.
  • Loading...
    Thumbnail Image
    Item
    Muundo na dhima ya vielezi katika Kiswahili
    (Chuo Kikuu cha Dar es salaam, 2016) Amanzi, Mussa Omari
    Tasinifu hii I matokeo ya utafiti ulioshughulikia Muundo na Dhima ya vielezi katika Kiswahili, na imegawanyika katika sura tano. Sura ya kwanza imeshughulikia Tatizo la Utafiti na Kiunzi cha Nadharia kilichotumika katika uchambuzi wa mada. Sura ya pili imefenya mapitio ya maandiko mbalimbali yaliyoibua utafiti huu. Sura ya tatu imefafanua mbinu anuwai zilizotumika kuendesha utafiti huu. Sura ya nne imejihusisha na uchanganuzi wa data ulioibua mchango mpya wa utafiti huu, ambapo sura ya mwisho imefunga mjadakla kwa kutoa muhtasari wa tasinifu ya nzima na ushauri kwa utafiti mwingine unaoendana na utafiti huu. Matokeo ya utafiti huu unaonesha kuwa, kimofolojia, vielezi vya Kiswahili vinaweza kuundwa kwa kuongeza {ki-}mwanzoni mwa baadhi ya nomino au vivumishi; kuongeza {ku-} mwanzoni mwa baadhi ya vimilikishi;kuongeza {vi-} mwanzoni mwa baadhi ya vivumishi; kuongeza kiunganishi {ni}mwishoni mwa baadhi ya nomino. Pia,vielezihuundwa na baadhi ya maneno ya uradidi, tanakali sauti, nomino za wakati, nomino za muekezo na baadhi ya maneno yasiyo na kategoria yoyote (vielezi asilia/ ushahidi). Matokeo ya utafiti huu yameonesha kuwa, kisintaksia,baadhi ya mafungu ya maneno hufanya kazi za uelezi, kama vile kirai elezi ambacho kinaweza kuundwa na kielezi peke yake; kielezi zaidi ya kimoja; mfano E + E, (anakula vizuri sana), E + E + E, (anampiga paka sokoni asubuhi mapema ); kielezi pamoja na kihusishi E + H, (anachuma maua juu ya mti ); E + E + H, (anafundisha somo vizuri sana mbele ya darasa); kirai husishi elezi (anacheza mpira kwa madaha). Pia kishazi elezi ambacho huundwa kwa kuanza na maneno ya viunganishi vinavyounganisha zaidi ya moja ndani ya sentesi moja, ambavyo vinachanuza utegemezi (kishazi tegemezi), kama vile japokuwa, ingawa, kwa sababu, kama, na mengine mengi: Mfano (Juma anakula chakula, ingawa anaumwa tumbo). Si hivyo tu, bali kisintaksia, utafiti umeonesha namna ya utokeaji wa vielezi katika tungo za Kiswahili kwa vielezi kuhamahama kwa kuwa mwanzo, kati au mwisho: (N + T + N + E), (N + T + E + N,) (E + N + T + N). kuhamahama huku kunategemea zaidi kama vielezi vinaelezea neno tu au sentensi nzima au mada, imegundulika kuwa mwenendo wa asili wa utokeaji vielezi ni kukaa baada ya mbwa lakini hutokea kukaa karibu na kijalizo chake (antecedent) na wakati mwingine hukubali kukaa mwanzoni mwa tungo. Matokeo ya utafiti huu yameonesha pia. Kisemantiki, vielezi vina dhina mbalimbali katika tungo za Kiswahili. Dhima kuu ya vielezi ni kueleza zaidi kuhusu kitenzi, vivumishi,kielezi na sentensi nzima kwa kukumisha umahali, uwakati, uidadi na unamna. Pia, utafiti umeeleza maana mahususi zinazojitokeza wakati vielezi vinapohamahama kwa kuwa mwanzo, kati au mwisho. Kwa ujumla, vielezi katika lugha ya Kiswahili vina miundo yake maalumu na dhima zinazojipambanua katika ligha ya Kiswahili tu.

About Library

The University of Dar es Salaam Library is a vital source of scholarly information that facilitates users to get access to learning and research resources during their studies. It provides access to a wide range of resources in both print and digital formats and conducive reading environment for users, regardless of their physical conditions. All registered users are eligible to access library resources and can borrow print materials from general shelves for a specific period of time.

Useful Links

Koha Staff Login

University Research Repository

WebMail

Aris

Book Study Room

Mara Oral History

Hansard

SOCIAL MEDIA

Instagram

Facebook

Twitter

YouTube

WhatsApp

Ask Librarian

Contact Us

Postal Address
P.O.Box 35092
Dar es Salaam

Call Us: +255 22 2410500/9 Ext. 2165 ; Direct line +255 22 2410241

Fax No:: +255 22 2410241

Email:: directorlibrary@udsm.ac.tz

2025 University of Dar es Salaam - University Of Dar Es Salaam Library
Term of use / Privacy Policy