2020-11-092020-11-092010-09-19Kampeni za uchaguzi mkuu ( 2010, September 19 ).University of Dar es Salaam.http://41.86.178.5:8080/xmlui/handle/123456789/13580Available in print form, East Africana Collection, Dr. Wilbert Chagula Library, Newspaper Collection.Kampeni za uchaguzi mkuu mwaka 2010 mgombea Urais kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Jakaya Kikwete alihaidi kuinua hadhi ya hospitali saba nchini na kuzifanya za rufani na zile za rufani kupandishwa kuwa hospitali maalumu kutibu magonjwa yaliyoshindikana katika hospitali za rufani, wakati huo huo mgombea mwenza kupitia NCCR mageuzi Bw. Ali Omar alihaidi kupunguza kansa Zanzibar.en-swCCMNCCRJakaya KikweteZanzibarKampeni za uchaguzi mkuuOther