2020-09-142020-09-142010-01-01Rashid Mfaume Kawawa 1926-2009 (2010 January 1). University of Dar es Salaam.http://41.86.178.5:8080/xmlui/handle/123456789/13536Available in print form, East Africana Collection, Dr. Wilbert Chagula Library, Newspaper Collection.Waziri mkuu na makamu wa pili wa Rais mstaafu, mzee Rashid Mfaume kawawa alifariki dunia katika hospitali ya Taifa Muhimbili alikolazwa baada ya afya yake kubadirika ghafla. Mzee Kawawa alikua miongoni mwa wanasiasa na watanzania waliokua nguzo kubwa ya kutete na kuulinda muungano wa Tanganyika na Zanzibar. Mzee Mfaume Kawawa alitumia muda mwingi kuhimiza umoja na mshikamano wa watanzania wakati wa uhai wake. Mzee Kawawa alizikwa nyumbani kwake Madale January 2, 2010.swMfaume Rashidi KawawaRais KikweteHospitali ya Taifa MuhimbiliRashid Mfaume Kawawa 1926-2009Other