Rugebandiza, Alfred2021-01-232021-01-232011Rugebandiza, A ( 2011 ) Matumizi ya ishara katika riwaya za S. Chachange: makuadi wa soko huria na almasi za bandia, Masters dissertation, University of Dar es Salaam, Dar es Salaam.http://41.86.178.5:8080/xmlui/handle/123456789/14334Available in print form, EAF collection, Dr. Wilbert Chagula Library, class mark ( THS EAF PL8704.A3R83 )Utafiti huu unahusu matumizi ya ishara katika riwaya za S.Chachage amabazo ni lmasi za bandia na Makuadi wa soko huria. Utafiti huu unakusudiwa kuchiunguzwa ishara zinazojitokeza na zinavyoweza kupatiwa maana kulingana na hali, historian a mazingira ya msomaji. Malengo ya utafiti huu ni kubainisha na kuainisha ishara zinazojitokeza katika riwaya teule, na kueleza jinsi ishara hizi zinavyojenga dhamira katiklamriwaya zitakazoshughulikiwa. Katika utafit huu mbinu ya maktabani imetumika mtafiti ameweza kusoma, kudurusu vitabu, majarida na nyarak mbalimbali katika makatba ya Chuo Kikuu Cha Dar es Salaam ili kupata data ya kazi yake.Matokeo ya utafiti huu yameonesha kwamba kazi ya fasihi ina urejelezi wan je na ishara hupatiwa maana na kuibua dhamira kulingana na uzoefu, historia, utamaduni na mtazamo wa msomaji. Pia uchambuzi umefanywa kwa kutumia aina tano za ishara za nadharia ya semiotiki zilizopendekezwa na Barthes.Utafiti huu unapendekeza tafiti zaidi kuhusiana na aina nyingine za ishara zilizopendekezwa na wataalamu wengine.swSwahili literatureMakuadi wa soko huriaAlmasi ya bandiaChachage, SMatumizi ya ishara katika riwaya za S. Chachange: makuadi wa soko huria na almasi za bandiaThesis