2020-09-092020-09-091999-10-14Kuugua hadi kufa kwa baba wa Taif (1999, October 14). University of Dar es Salaam.http://41.86.178.5:8080/xmlui/handle/123456789/13517Available in print form, East Africana Collection, Dr. Wilbert Chagula Library, Newspaper Collection.Kifo cha baba wa Taifa na Mwasisi wa Taifa la Tanzania Mwalimu Julius Kambarage Nyerere kilitokea nchini London mnamo tarehe 14/10/1999 saa 4:30 za Africa Mashariki katika hospitali ya Mtakatifu Thomas, London Uingereza alikokua amelazwa. Mwalimu Nyerere aligundulika kua na kansa ya damu . Mwalimu alizikwa nyumbani kwake Mwitonga kijijini Butihama, mkoa wa Mara, Wilayani Musoma.en-swMwalimu NyerereRais MkapaLondonUingerezaButihamaMaraMusomaKuugua hadi kufa kwa baba wa TaifaOther