2020-09-092020-09-092000-10-27Mauaji Wilayani Kilosa (2000, October 27). University of Dar es Salaam.http://41.86.178.5:8080/xmlui/handle/123456789/13518Available in print form, East Africana Collection, Dr. Wilbert Chagula Library, Newspaper Collection.Watu saba walifariki katika mapigano baina ya wafugaji na wakulima wilayani Kilosa mkoani Morogoro. Chanzo cha mapigano hayo kilikuwa ni ugomvi baina ya mfugaji mmoja wa jamii ya kimasai kupigwa risasi kichwani na mkulima aliyefahamika kama Hasssan Kirungi. Kabla ya mauaji wafugaji waliwashambulia wakulima na wanakijiji na baadaye kuchoma moto nyumba mbili za mwenyekiti wa kitongoji cha kikenge.en-swKilosaWakulimaWafugajiMorogoroYohana LeptrukoHassan KirungiMauaji Wilayani KilosaOther