Kussaka, Mariam Bakari2021-08-092021-08-092011Kussaka, M. B (2011) Matumizi ya Taswira katika nyimbo za Kisazi za jamii ya Wazigua kutoka Somalia, Masters dissertation, University of Dar es Salaam, Dar es Salaam.http://41.86.178.5:8080/xmlui/handle/123456789/15346Available in print form, East Africana Collection, Dr.Wilbert Chagula Library, class mark (THS EAF PL8831.K87)Lengo la utafiti huu ni kuchunguza vipengele vya fasihi simulizi vinavyosaidia kutoa ujumbe katika jamii. Utafiti huu umefanya uchambuzi wa nyimbo kumi za kisazi za jamii ya Wazigua kutoka Somalia na kubainisha aina za taswira zinazopatikana katika nyimbo hizo. Zaidi ya hayo, utafiti umejadili jinsi matumizi ya taswira hizo yanavyofikisha ujumbe kwa walengwa. Nyimbo hizo zimechambuliwa ili kuweza kubainisha umuhimu wa taswira hizo katika kutoa ujumbe kwenye kumuandaa binti katika maisha yake ya utu uzima. Aidha, kwa kutumia nadharia ya Semiotiki, tasnifu hii imejenga hoja zilizoongoza utafiti huu kwamba taswira zina matumizi makubwa katika kutoa mafunzo kwa wari. Matokeo ya utafiti yamedhihiriswa kuwa taswira za kuonekana ndizo hutumika kwa wingi katika nyimbo za Kisazi ya wazigua kutoka Somalia na kwamba taswira hizi husaidia kufikisha ujumbe kwa walengwa kwa haraka.swZigua languageZigula languageBantu languageSomaliaMatumizi ya Taswira katika nyimbo za Kisazi za jamii ya Wazigua kutoka SomaliaThesis