2020-09-242020-09-242003-10-14Miaka minne baada ya kifo cha Mwalimu Nyerere (2003, October 14). University of Dar es Salaam.http://41.86.178.5:8080/xmlui/handle/123456789/13558Available in print form, East Africana Collection, Dr. Wilbert Chagula Library, Newspaper Collection.Katika kumbukizi za kifo cha baba wa Taifa Hayati Julius Nyerere alifariki 14.10.1999 katika hospitali ya Saint Thomas, London, Uingereza, mashirika mbalimbali, taasisi binafsi na serikali pamoja na Watanzania wote wanaendelea kumkumbuka kwa mengi katika miaka yote ya utawala wake. Mwalimu aliendelea kua kioo cha uongozi wa umma. Alisisitiza juu ya elimu kama njia ya kuwakomboa watanzania, kuleta uhuru wa Watanzania, kujenga umoja, upendo na mshikamano, kuleta muungano wa Tanganyika na Zanzibar nk.en-swMwalimu NyerereSaint ThomasLondonUingerezaMiaka minne baada ya kifo cha Mwalimu NyerereOther