TAMWA, CHAWAHATA2020-10-162020-10-161992TAMWA/CHAWAHATA, (1992) Sauti ya Siti : gazeti la wanawake Tanzania, Gazeti, University of Dar es Salaam, Dar es Salaam.http://41.86.178.5:8080/xmlui/handle/123456789/13562Available in print format at University of Dar es Salaam ArchiveSiku ya mtoto wa Afrika ni siku maalum iliyoteuliwa na umoja wa nchi huru za Afrika (OAU) kuadhimisha haki ya mtoto wa Afrika. Japo ni siku ya furaha kwa watoto lakini furahi hii si kwa watoto wote wa Afrika kwani watoto wengi wa Afrika bado wanakabiliwa na changamoto nyingi katika kufurahia maisha yao, changamoto hizi ni pamoja na vita, maradhi, njaa nk...swHaki za watotoWatoto ni taifa la keshoWatoto wa mitaaniSauti ya Siti : gazeti la wanawake TanzaniaArticle