2020-09-102020-09-102010-10-01Uchaguzi mkuu 2010 (2010, October 1). University of Dar es Salaam.http://41.86.178.5:8080/xmlui/handle/123456789/13534Available in print form, East Africana Collection, Dr. Wilbert Chagula Library, Newspaper Collection.Magazeti mbalimbali yaliandika juu ya uchaguzi mkuu wa ubunge, udiwani na urais mwaka 2010.Wagombea kupitia vyama vyao walitumia kila mbinu kuwashawishi wapiga kura. Mgombea urais wa Chama Cha Mapinduzi Rais Jakaya Kikwete alimwaga ahadi zake nzito ikiwemo ya kujenga barabara hadi Kigoma yenye urefu wa kilometa 7000. Naye Lipumba alihaidi kujenga kiwanda cha matunda Kagera.en-swCCMRais KikweteKageraSingidaKigomaUchaguzi mkuu 2010.Other