2020-09-072020-09-072015-11-24Utendaji wa serikali awamu ya tano (2015, November 24). University of Dar es Salaamhttp://41.86.178.5:8080/xmlui/handle/123456789/13505Available in print form, East Africana Collection, Dr. Wilbert Chagula Library, Newspaper Collection.Magazeti mbalimbali yaelezea utendaji kazi wa Rais awamu ya tano, yaangazia siku 100 za mwanzo za uchapaji kazi wa Rais Magufuli, miongoni mwa mambo aliyohaidi kufanya Rais ni pamoja na kupambana na rushwa, ufisadi, madawa ya kulevya, kuondoa wafanyakazi hewa serikalini, ukusanyaji mapato na ubanaji matumizi, elimu bure kuanzia darasa la kwanza hadi kidato cha nne nk. Yote haya yakiongozwa na kauli mbiu "Hapa Kazi Tu".swRais MagufuliSiku 100 za Dk. MagufuliHapa kazi tuUtendaji wa serikali awamu ya tanoOther