Makungu, Hamidi Vuai2022-06-212022-06-211970Makungu, Hamidi Vuai (1970) Sivyo ilivyo,Zanzibar:Zanzibar publishershttp://41.86.172.12:8090/xmlui/handle/123456789/16647Kinapatikana kwenye machapisho ya Kiswahili, maktaba ya Dkt. Wilbert Chagula. Kitengo cha Afrika Mashariki (EAF PAM PL8704.6.M34)Siku moja katika siku saba zinazojirudia zizo kwa zizo katika maisha yetu,Shungi baada ya kufikiri hali ya udhaifu wa maisha yake hasa kwa vile hakusoma na bahati yake ya kukosa kazi, kila alikotoka maofisini,viwandani hata kwa matajiri,aliamua kwenda kuangalia hali yake kwa mganga ili afanyiwe maarifa ya kazi.Shungi kadharauliwa na kila mtu pengine hata na Bi Nali mke wa rafiki yake,yawezekana hata na mzee Finya anamdharau shungi, Dharau ni nini? Kule kumuonea huruma mtu nayo ni dharau, unamdharau kwasababu kwasababu hawezi kujimudu.swSwahili fictionSivyo ilivyoSivyo ilivyoBook chapter