Nyerere, Julius Kambarage2020-02-172020-02-171967Nyerere,J.k(1967).Uhuru na maendeleo. Dar es Salaam:Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,p.14http://41.86.178.5:8080/xmlui/handle/123456789/7158Available in print form, East Africana Collection, Dr. Wilbert Chagula Library, Class Mark ( IKR-MKV PAM DT438.N92)Uhuru na Maendeleo ni vitu vinavyohusiana sana;uhusiano wao ni sawa na uhusiano baina ya kuku na yai! Bila ya kuku hupati mayai;na bila mayai kuku watakwisha.Vile vile,bila ya uhuru hupati maendeleo,na bila ya maendeleo ni dhahiri kwamba uhuru wako utaotea.otherTanzaniaPolitics and GovernmentUhuru na maendeleoBook