TAMWA, CHAWAHATA2020-10-162020-10-161988TAMWA/CHAWAHATA, (1988) Sauti ya Siti : gazeti la wanawake Tanzania: Mama na mwana, Gazeti, University of Dar es Salaam, Dar es Salaam.0856-230xhttp://41.86.178.5:8080/xmlui/handle/123456789/13563Available in print formatJina la gazeti hili sauti ya Siti limetokana na na jina la mwimbaji binti Saed ambaye alikuwa miongoni mwa wanawake wa kwanza waliojitokeza katika usani nchini. Chama cha waandishi wa habari wanawake Tanzania (CHAWAHATA) kiliamua kumpa wasifu mwanamke huyu kwa sababu katika kipindi cha nyuma wasanii wanawake walikuwa hawapewi wadhifa unaowastahili. Neno Siti lina maana mwanamke, na sauti ya Siti lina maana sauti ya mwanamke. Wanawake lazima wapewe sauti ya kusema wanachotaka, na sauti mojawapo ni hili gazetiswUchungu wa mwanaSheria ya ndoaWanawake wa KimasaiMahari ni mzigo kwa wanaume na wanawakeSauti ya Siti : gazeti la wanawake TanzaniaArticle