Mwalimu afungua majengo yenye thamani ya pauni 460,000 mjini Bukoba
Date
Authors
Editors
Journal Title
Journal ISSN
Volume Title
Publisher
Information services division, Ministry of Information and Tourism
DOI
Abstract
Rais wa Tanzania, Mwalimu Julius K. Nyerere afungua majengo ya mtambo wa kutengenezea Kahawa wenye thamani ya pauni 350,000 majumba ya field force yaliyogharimu pauni 94,349, mabweni ya shule ya Gwewal sekondari yenye thamani ya pauni 16,877 na makao makuu ya TANU ya mkoa yaliyonunuliwa kwa pauni 5000 wakati wa ziara yake mkoa wa ziwa magharibi
Description
Keywords
Citation
(URT,1967)Mwalimu afungua majengo yenye thamani ya pauni 460,00 mjini Bukoba,Information Service division, ministry of Information and Tourism

