Ufundishaji na ujifunzaji wa ushairi wa kiswahili shule za sekondari mkoa wa Dar es salaam

dc.contributor.authorSultan, Juma Ramadhani
dc.date.accessioned2019-08-30T09:56:38Z
dc.date.accessioned2020-01-07T16:26:41Z
dc.date.available2019-08-30T09:56:38Z
dc.date.available2020-01-07T16:26:41Z
dc.date.issued2012
dc.description.abstractUtafiti huu unahusu ufundishaji na ujifunzaji wa ushairi wa Kiswahili katika shule za sekondari. Lengo ni kuchunguza changamoto mbalimbali zinazoikabili tasinia ya ufundishaji na ujifunzaji wa ushairi wa Kiswahili. Ili kufanikisha lengo hili, mtafiti alikusanya data kutoka shule za sekondari mkoa wa Dar es Salaam. Mbinu za utafiti za uwandani na maktabani zimetumika, mbinu za uwandani kama vile hojaji, usaili, kinasa sauti na ushuhudiaji, mtafiti alikusanya data mahususi zinazohusiana na utafiti. Tasinifu hii imegawanywa katika sura tano. Sura ya kwanza, inahusu utangulizi wa jumla, sura ya pili mapitio ya maandishi, sura ya tatu mbinu za utafiti. Katika sura ya nne ni uwasilishaji, uchambuzi wa matokeo na mjadala, sura ya tano ni sura ya mwisho ambayo ni hitimisho na mapendekezo. Utafiti umebaini kwamba ufundishaji na ujifunzaji wa ushairi hutumia mbinu na zana mbalimbali, mbinu hizo ni mbinu, zana shirikishi na zisizo shirikishi. Matokeo ya yanaonesha kwamba, walimu wanatumia sana mbinu na zana ambazo zisizo shirikishi kwa kuwa zinawapa fursa ya kumaliza mada mapema bila ya kujali wanafunzi wameelewa au la!. Utafiti unapendekeza kwamba tafiti maalimu zifanywe katika ufundishaji na ujifunzaji wa ushairi wa kisasa, itasaidia kubainisha mbinu mbadala na bora za ufundishaji na ujifunzaji wa ushairi wa kiswahili wa kisasa.en_US
dc.identifier.citationSultan, J. Ren_US
dc.identifier.urihttp://localhost:8080/xmlui/handle/123456789/3461
dc.language.isootheren_US
dc.publisherUniversity of Dar es Salaamen_US
dc.subjectSwahili poetryen_US
dc.subjectSecondary schoolsen_US
dc.subjectDar es Salaam regionen_US
dc.subjectTanzaniaen_US
dc.titleUfundishaji na ujifunzaji wa ushairi wa kiswahili shule za sekondari mkoa wa Dar es salaamen_US
dc.typeOtheren_US

Files