Press Releases
Permanent URI for this collection
Browse
Browsing Press Releases by Issue Date
Now showing 1 - 20 of 41
Results Per Page
Sort Options
Item Appointments in the Official Gazette(Ministry of information and Tourism, 1969-03-07)The president Julius K. Nyerere has appointed members to the Nairobi University Council for a period of two years.Item Rais atembelea shamba la gereza la Songwe(Ministry of Information and Tourism, 1969-03-13)Rais Nyerere alitembelea shamba la magereza la Songwe, maili 25 kutoka Mbeya. Alionyeshwa kazi mbalimbali zinazofanyika katika shamba hilo na nyumba za magogo zinazojengwa na wafungwa na askari kwa njia ya kujitegemeaItem Wakuu wa mikoa na wakuu wa kilimo wakutana mjini Dar es Salaam(Ministry of Information and Tourism, 1969-03-13)Rais, Julius K. Nyerere alifungua mkutano wa maafisa wakuu wa kilimo na wakuu wa mikoa, uliofanyika mjini Dar es Salaam. Mwalimu alizungumzia juu ya siasa ya ujamaa na maendeleo vijijini.Item Rais Nyerere afanya mabadiliko ya wafanyakazi serikalini(Ministry of Information and Tourism, 1969-03-14)Rais Nyerere alimchagua bwana D.N.M Mloko kuwa katibu mkuu katika wizara ya habari na utalii, badala ya bwana B. Mkatte ambaye anapata uhamisho kwenda Musoma kuwa katibu wa utawala wa Mkoa wa Mara.Item Askari 600 wala kiapo cha kuilinda Tanzania mbele ya Raisi Nyerere(Ministry of information and Tourism, 1969-03-15)Raisi Nyerere alipokea saluti toka kwa askari 600 waliomaliza mafunzo ya kijeshi kwenye shule ya Jeshi la Ulinzi la wananchi wa Tanzania iliyoko Mgulani, Dar es SalaamItem Rais afungua mkutano(Minisrty of Information and Tourism, 1969-03-17)Rais Nyerere iliiambia Wizara ya Kilimo, Chakula na Vyama vya Ushirika ikazane sana ukulima wa mashamba makubwa ya serikali popote inapowezekana kufanya hivyo ili kutoa mfano wa kilimo bora kwa wananchi vijijini.Item Tandau katibu mkuu wa NUTA(Ministry of Information and Tourism, 1969-03-19)Rais Nyerere alimteua Alfred C. Tandau kuwa katibu wa NUTA badala ya M.M.Kamaliza ambaye muda wake ulimalizika. Rais pia alimteua Crispin Tungaraza kuwa Naibu wa katibu mkuu wa NUTA.Item Tandau katibu mkuu wa NUTA(Minitry of Information and Tourism, 1969-03-19)Rais Nyerere alimteua Alfred C. Tandau kuwa katibu mkuu wa Nuta, badala ya M.M. Kamaliza ambaye muda wake ulimalizika. Pia alimteua Crispin Tungaraza kuwa naibu wa katibu mkuu Nuta.Item President Nyerere Indisposed(Ministry of Information and Tourism, 1969-03-20)The President, Mwalimu Julius K. Nyerere, was slightly indisposed, therefore he was forced to cancel his journey to Kampala where he was expected to confer degrees of the University of East Africa at Makerere University college.Item College of business administration board appointed(Ministry of information and Tourism, 1969-09-19)The Minister for National Education has appointed four people to the Board of Governors of the College of Business Administration.Item Maafisa wakuu wa idara za polisi na magereza watakutana Dar(Ministry of information and Tourism, 1969-09-19)Rais Mwalimu Nyerere atakutana na maafisa wakuu wa idara za Polisi na magereza kwa mazungumzo ya kiserikali. Maafisa hao watakuwa na mkutano wao wa pamoja mjini Dar es Salaam.Item Maafisa wakuu wa idara za polisi na magereza watakutana Dar(Ministry of information and Tourism, 1969-09-19)Raisi, Mwalimu Julius K. Nyerere akutana na maafisa wakuu wa idara za Polisi na Magereza kwa mazungumzo ya kiserikali.Item Kazi saa nane kutwa(Ministry of information and Tourism, 1969-09-23)Raisi wa Tanzania aliwaambia wanatanzia kuwa kama wanataka maendeleo, basi yampasa kila mtu mzima mke kwa mume afanye kazi angalau kwa muda saa nane kutwa. Aliyaongea hayo katika kijiji cha ujamaa cha Mkongo kwenye mkutano wa Halmashauri kuu ya TaifaItem Appointments to commission announced(Ministry of information and Tourism, 1969-10-02)The president has appointed Sheikh Abdalla Iddi Chaurembo to be member of the Permanent Commission of Equiry for a period of two years with effect.Item President Nyerere's speech at the launche on a given by the Lautenant-governor(Ministry of information and tourism, 1969-10-02) Nyerere, Julius KambaragePresident Nyerere's speech at the lunches on given by the Lieutenant-Governor, Ontario provinceItem President Nyerere's speech on arrival in New Delhi(Ministry of information and broadcasting, 1971-01-22)President Nyerere during his visit to India, he believed to be possible for Tanzania to learn from the endeavors and experience of India since IndependenceItem President proclaims establishment lindi region(Ministry of information and tourism, 1971-06-25) Nyerere, Julius KambaragePresident Nyerere has signed a proclamation for the establishment of new region of Lindi. The proclamation comes into effects on July 1, 1971Item President appoints memebers of appeals tribunal(Ministry of information and Tourism, 1971-06-26) Nyerere, Julius NyererePresident Nyerere has appointed Chief Erasto Mang'enya M.P to be a chairman of the appeals Tribunal which all ppeal cases under the acquisition of building actsItem Implementation committee on the reorganization of S. T. C. appointed(Ministry of information and broadcasting, 1972-08-05)President Nyerere has approved the appointment of an implementation committees to reorganizes the state Trading, corporation as outlined by the Minister for commerce and industriesItem Boman appointed as ambassador to washington(Ministry of information and broadcasting, 1972-08-30)President Nyerere has appointed Mr. Paul Bomani to be Tanzania's Ambassador in Washington, U.S.A. He replaces Mr. Gosbert Rutabanzibwa who is being transferred back to headquarters.