Repository logo
  • English
  • Català
  • ÄŒeÅ¡tina
  • Deutsch
  • Español
  • Français
  • Gàidhlig
  • Italiano
  • LatvieÅ¡u
  • Magyar
  • Nederlands
  • Polski
  • Português
  • Português do Brasil
  • Srpski (lat)
  • Suomi
  • Svenska
  • Türkçe
  • Tiếng Việt
  • Log In
    New user? Click here to register. Have you forgotten your password?
Repository logo
    Communities & Collections
    All of DSpace
  • English
  • Català
  • ÄŒeÅ¡tina
  • Deutsch
  • Español
  • Français
  • Gàidhlig
  • Italiano
  • LatvieÅ¡u
  • Magyar
  • Nederlands
  • Polski
  • Português
  • Português do Brasil
  • Srpski (lat)
  • Suomi
  • Svenska
  • Türkçe
  • Tiếng Việt
  • Log In
    New user? Click here to register. Have you forgotten your password?
  1. Home
  2. Browse by Author

Browsing by Author "Venance, Furaha"

Now showing 1 - 1 of 1
Results Per Page
Sort Options
  • Loading...
    Thumbnail Image
    Item
    Dhamira za kisiasa katika mashairi ya bongo hip hop na jinsi zinavyoakisi jamii uchambuzi wa mashairi ya Joseph Mbilinyi (Sugu) na Ibrahimu Musa (Roma)
    (University of Dar es Salaam, 2017) Venance, Furaha
    Utafiti huu unachunguza dhamira za kisiasa katika mashairi ya Bongo Hip Hop na uakisi wake katika jamii, kutoka katika mashairi ya wasanii Joseph Mbilinyi (Sugu) na Ibrahim Musa (Roma). Mitazamo tofauti katika jamii juu ya muziki huu ndiyo iliyomsukuma mtafiti kufanya utafiti huu ili kuionesha jamii kuwa mashairi ya Bongo Hip Hop si upuuzi au uhuni bali ni fasihi komavu yenye dhima muhimu kisanaa na kijamii. Malengo mahususi ya utafiti huu yakiwa ni kubainisha namna mitindo ya lugha inavyosaidia kuibua dhamira za kisiasa, kubainisha dhamira za kisiasa zinazojitokeza na kuchambua namna dhamira hizo zinavyoakisi hali halisi ya jamii ya Kitanzania. Nadharia ya Sosholojia ya Fasihi na Mkabala wa Kitaamuli ndiyo uliotumika katika uwasilishaji na uchambuzi wa data. Mbinu za utafiti zilizotumika katika ukusanyaji wa data ni kusikiliza sidii za nyimbo za wasanii teule na udurusu wa machapisho mbalimbali yanayohusiana na mada husika. Matokeo ya utafiti yamebaini kuwa mashairi ya Bongo Hip Hop yamesheheni mitindo mbalimbali ya lugha inayosaidia kuibua dhamira za kisiasa. Mitindo hiyo ni tamathali za semi (kama vile tashibiha, sitiari, kejeli na tashihisi), misemo, misimu, takriri, ishara, na mgotanisho. Kwa upande wa dhamira matokeo ya utafiti yamebaini kuwa kuna dhamira za kisiasa zinazojitokeza katika mashairi ya Bongo Hip Hop ambazo kwa kiasi kikubwa zinaakisi hali halisi ya jamii ya Kitanzania. Dhamira hizo zinazoakisi jamii ni kama vile rushwa, ufisadi na umaskini, elimu, matabaka na ukosefu wa haki, tatizo la uongozi na uhuru wa kuzungumza na kutoa maoni. Utafiti huu umetoa mapendekezo mbalimbali ambayo yameelezwa vizuri katika sura ya tano.

About Library

The University of Dar es Salaam Library is a vital source of scholarly information that facilitates users to get access to learning and research resources during their studies. It provides access to a wide range of resources in both print and digital formats and conducive reading environment for users, regardless of their physical conditions. All registered users are eligible to access library resources and can borrow print materials from general shelves for a specific period of time.

Useful Links

Koha Staff Login

University Research Repository

WebMail

Aris

Book Study Room

Mara Oral History

Hansard

SOCIAL MEDIA

Instagram

Facebook

Twitter

YouTube

WhatsApp

Ask Librarian

Contact Us

Postal Address
P.O.Box 35092
Dar es Salaam

Call Us: +255 22 2410500/9 Ext. 2165 ; Direct line +255 22 2410241

Fax No:: +255 22 2410241

Email:: directorlibrary@udsm.ac.tz

2025 University of Dar es Salaam - University Of Dar Es Salaam Library
Term of use / Privacy Policy