Repository logo
  • English
  • Català
  • ÄŒeÅ¡tina
  • Deutsch
  • Español
  • Français
  • Gàidhlig
  • Italiano
  • LatvieÅ¡u
  • Magyar
  • Nederlands
  • Polski
  • Português
  • Português do Brasil
  • Srpski (lat)
  • Suomi
  • Svenska
  • Türkçe
  • Tiếng Việt
  • Log In
    New user? Click here to register. Have you forgotten your password?
Repository logo
    Communities & Collections
    All of DSpace
  • English
  • Català
  • ÄŒeÅ¡tina
  • Deutsch
  • Español
  • Français
  • Gàidhlig
  • Italiano
  • LatvieÅ¡u
  • Magyar
  • Nederlands
  • Polski
  • Português
  • Português do Brasil
  • Srpski (lat)
  • Suomi
  • Svenska
  • Türkçe
  • Tiếng Việt
  • Log In
    New user? Click here to register. Have you forgotten your password?
  1. Home
  2. Browse by Author

Browsing by Author "Shaabani, Amida"

Now showing 1 - 1 of 1
Results Per Page
Sort Options
  • No Thumbnail Available
    Item
    usawiri wa familia pana ya kiafrika: mifano kutoka Riwaya za G. Ruhumbika na C.S. Chachage
    (University of Dar es Salaam, 2012) Shaabani, Amida
    Tasnifu hii inachunguza usawiri wa dhana ya familia pana katika riwaya za Kiswahili. Inalenga kuchunguza utokeaji wa dhana ya familia pana ya Kiafrika katika riwaya teule za Ruhumbika ambazo ni Miradi Bubu ya Wazalendo na Janga Sungu la Wazawa pamoja na riwaya teule ya Chachage ambayo ni Makuadi wa Soko Huria.Tasnifu imeshughulikia dhana ya familia pana ya Kiafrika kwa kubaini muundo wa familia hiyo pana, kuonesha uhusiano na majukumu ya wanafamilia na pia kubaini athari za mabadiliko ya kijamii katika familia pana.Aidha kwa kutumia nadharia ya Ontolojia ya Kiafrika na Mkabala wa Kidhamira mtafiti aliweza kukusanya dhamira zinazohusiana na dhana ya familia pana ya Kiafrika katika riwaya teule na kuziorodhesha, kisha kubaini muundo wa familia pana, uhusiano na majukumu ya wanafamilia katika familia pana na athari za mabadiliko ya kijamii katika familia hiyo.Matokeo ya utafiti wa tasnifu hii yanaonesha kuwa muundo wa familia pana ya Kiafrika uliojitokeza unahusisha wazazi ambao ni baba na mama, babu na bibi, watoto tena wengi wanaozaliwa ndani ya familia pana, watoto na ndugu wengine wanaolelewa hapo, marafiki, waliokufa, watoto ambao hawajazaliwa pamoja na muundo wa familia pana katika kiwango cha jamii.Uhusiano na majukumu ya wanafamilia uliojitokeza ni pamoja na uhusiano baina ya mume na mke, uhusiano wa watoto na ndugu zao ndani ya familia, uhusiano na majukumu baina ya wazazi na watoto wao na wale wanaolelewa hapo pia uhusiano wa wanafamilia katika kiwango cha jamii. Athari za mabadiliko ya kijamii katika familia pana ni ubinafsi, usaliti, suala la utajiri, imani za ushirikina pamoja na tamaa za kimwili ambayo yanaathiri uhusiano na mshikamano wa ndugu na wanafamilia katika familia pana. Mwisho, unatolewa muhtasari wa tasnifu, hitimisho na mapendekezo.

About Library

The University of Dar es Salaam Library is a vital source of scholarly information that facilitates users to get access to learning and research resources during their studies. It provides access to a wide range of resources in both print and digital formats and conducive reading environment for users, regardless of their physical conditions. All registered users are eligible to access library resources and can borrow print materials from general shelves for a specific period of time.

Useful Links

Koha Staff Login

University Research Repository

WebMail

Aris

Book Study Room

Mara Oral History

Hansard

SOCIAL MEDIA

Instagram

Facebook

Twitter

YouTube

WhatsApp

Ask Librarian

Contact Us

Postal Address
P.O.Box 35092
Dar es Salaam

Call Us: +255 22 2410500/9 Ext. 2165 ; Direct line +255 22 2410241

Fax No:: +255 22 2410241

Email:: directorlibrary@udsm.ac.tz

2025 University of Dar es Salaam - University Of Dar Es Salaam Library
Term of use / Privacy Policy