Repository logo
  • English
  • Català
  • ÄŒeÅ¡tina
  • Deutsch
  • Español
  • Français
  • Gàidhlig
  • Italiano
  • LatvieÅ¡u
  • Magyar
  • Nederlands
  • Polski
  • Português
  • Português do Brasil
  • Srpski (lat)
  • Suomi
  • Svenska
  • Türkçe
  • Tiếng Việt
  • Log In
    New user? Click here to register. Have you forgotten your password?
Repository logo
    Communities & Collections
    All of DSpace
  • English
  • Català
  • ÄŒeÅ¡tina
  • Deutsch
  • Español
  • Français
  • Gàidhlig
  • Italiano
  • LatvieÅ¡u
  • Magyar
  • Nederlands
  • Polski
  • Português
  • Português do Brasil
  • Srpski (lat)
  • Suomi
  • Svenska
  • Türkçe
  • Tiếng Việt
  • Log In
    New user? Click here to register. Have you forgotten your password?
  1. Home
  2. Browse by Author

Browsing by Author "Raphael, Honest"

Now showing 1 - 1 of 1
Results Per Page
Sort Options
  • No Thumbnail Available
    Item
    Ukiushi katika tafsiri ya nyimbo za muziki wa injili kutoka kiswahili kwenda kiingereza
    (University of Dar es Salaam, 2013) Raphael, Honest
    Utafiti huu umechunguza Ukiushi katika Tafsiri ya Nyimbo za Muziki wa Injili kutoka Kiswahili kwenda Kiingereza. Nyimbo za muziki wa Injili zilizoshughulikiwa ni zile tu zinazoimbwa katika lugha ya Kiswahili na kufanyiwa tafsiri kwenda lugha ya Kiingereza, ambapo maandishi yake huonekana mbele ya kioo cha televisheni, kompyuta au mbele ya pazia la sinema. Utafiti huu umetumia mbinu za kupitia nyaraka mbalimbali, kuchunguza maandiko maktabani, kutumia mbinu ya majadiliano, hojaji na dodoso. Utafiti huu umetumia nadharia tatu mchanganyiko, ambazo ni Nadharia ya Kisemantiki, Nadharia ya Ulinganifu wa Kimuundo na Athari, na Nadharia ya Ulinganifu ya Skopos ambayo huchunguza tafsiri kwa kuangalia ulinganifu wa jambo au kitu kilichopo katika lugha chanzi kiwe sawa katika lugha lengwa. Kuhusu matokeo, imebainika kwamba, tafsiri ya nyimbo nyingi ina ukiushi wa kategoria mbalimbali kama vile ukiushi wa kisemantiki, kimuundo na kimofolojia. Kimsingi, ukiushi huo unasababishwa na wafasiri, ambao wengi wao si mahiri katika taaluma ya tafsiri. Pia, kutokuwa na weledi wa kutosha juu ya lugha zote mbili wanazozishughulikia. Aidha, baadhi ya mapendekezo yaliyotolewa ili kupunguza ukiushi huo ni pamoja na: Kwanza, kazi zote za tafsiri zifanywe na wataalamu wa tafsiri na siyo mtu yeyote anayejua lugha mbili, yaani zile zinazoshughulikiwa. Hii ni kwa sababu tafsiri ni taaluma kama zilivyo taaluma nyingine; ifahamike kuwa, kuna kanuni na mbinu mbalimbali zinazotumika kufanya tafsiri na si uelewa tu wa lugha zinazoshughulikiwa katika mchakato wa tafsiri.

About Library

The University of Dar es Salaam Library is a vital source of scholarly information that facilitates users to get access to learning and research resources during their studies. It provides access to a wide range of resources in both print and digital formats and conducive reading environment for users, regardless of their physical conditions. All registered users are eligible to access library resources and can borrow print materials from general shelves for a specific period of time.

Useful Links

Koha Staff Login

University Research Repository

WebMail

Aris

Book Study Room

Mara Oral History

Hansard

SOCIAL MEDIA

Instagram

Facebook

Twitter

YouTube

WhatsApp

Ask Librarian

Contact Us

Postal Address
P.O.Box 35092
Dar es Salaam

Call Us: +255 22 2410500/9 Ext. 2165 ; Direct line +255 22 2410241

Fax No:: +255 22 2410241

Email:: directorlibrary@udsm.ac.tz

2025 University of Dar es Salaam - University Of Dar Es Salaam Library
Term of use / Privacy Policy