Repository logo
  • English
  • Català
  • ÄŒeÅ¡tina
  • Deutsch
  • Español
  • Français
  • Gàidhlig
  • Italiano
  • LatvieÅ¡u
  • Magyar
  • Nederlands
  • Polski
  • Português
  • Português do Brasil
  • Srpski (lat)
  • Suomi
  • Svenska
  • Türkçe
  • Tiếng Việt
  • Log In
    New user? Click here to register. Have you forgotten your password?
Repository logo
    Communities & Collections
    All of DSpace
  • English
  • Català
  • ÄŒeÅ¡tina
  • Deutsch
  • Español
  • Français
  • Gàidhlig
  • Italiano
  • LatvieÅ¡u
  • Magyar
  • Nederlands
  • Polski
  • Português
  • Português do Brasil
  • Srpski (lat)
  • Suomi
  • Svenska
  • Türkçe
  • Tiếng Việt
  • Log In
    New user? Click here to register. Have you forgotten your password?
  1. Home
  2. Browse by Author

Browsing by Author "Nawe, Nade"

Now showing 1 - 1 of 1
Results Per Page
Sort Options
  • Loading...
    Thumbnail Image
    Item
    Taswira ya fisi katika ngano za Kiiraqw.
    (University of Dar es Salaam, 2018) Nawe, Nade
    Utafiti huu ulihusu taswira ya fisi katika ngano za jamii ya Wairaqw. Malengo mahususi yalikuwa: Kuchanganua taswira ya fisi inavyojitokeza katika ngano teule na, kueleza dhima ya taswira hizo katika jamii ya Wairaqw. Data za utafiti huu zilikusanywa katika mkoa wa Manyara wilayani Mbulu katika vijiji vya Titiwi na Landa. Kwa upande wa maktabani, data zilikusanywa katika Maktaba Kuu ya Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (Maktaba ya Dkt. Wilbert Chagula) na katika Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) usharika wa Mbulu. Data hizi zilikusanywa kwa kutumia mbinu ya mahojiano, ushuhudiaji, ukusanyaji wa matini na udurusu matini. Uchambuzi wa data umeongozwa na nadharia ya Semiotiki. Aidha, mkabala uliotumika kuchambua data hizo ni mkabala wa kitaamuli au maelezo. Matokeo ya utafiti huu yanaonyesha kwamba fisi ana taswira ya ujinga na upumbavu, tamaa na ulafi, umoja na mshikamano, woga na kukosa maamuzi sahihi, kukosa uwajibikaji na uvivu, maafa na mauaji na malezi mabaya. Aidha, utafiti huu umebaini kuwa dhima za taswira ya fisi katika ngano za jamii ya Wairaqw ni kusaidia katika uhimizaji wa malezi ya watoto, uhamasishaji wa umoja na mshikamano, uzingativu wa ushauri mzuri na mbaya, uhamasishaji wa kufanya kazi kwa bidii. Pia, husaidia katika suala la kurithisha na kuendeleza mila na desturi ya jamii husika. Mbali na kushughulikia taswira ya fisi katika ngano za Kiiraqw, utafiti wa kina unahitajika katika ngano za jamii nyingine ili kubaini kama taswira ina dhima zinazofanana. Aidha, utafiti wa kina ufanywe kuhusu wahusika wengine wa kingano katika jamii ya Wairaqw na nyingine ili kutoa hitimisho la jumla.

About Library

The University of Dar es Salaam Library is a vital source of scholarly information that facilitates users to get access to learning and research resources during their studies. It provides access to a wide range of resources in both print and digital formats and conducive reading environment for users, regardless of their physical conditions. All registered users are eligible to access library resources and can borrow print materials from general shelves for a specific period of time.

Useful Links

Koha Staff Login

University Research Repository

WebMail

Aris

Book Study Room

Mara Oral History

Hansard

SOCIAL MEDIA

Instagram

Facebook

Twitter

YouTube

WhatsApp

Ask Librarian

Contact Us

Postal Address
P.O.Box 35092
Dar es Salaam

Call Us: +255 22 2410500/9 Ext. 2165 ; Direct line +255 22 2410241

Fax No:: +255 22 2410241

Email:: directorlibrary@udsm.ac.tz

2025 University of Dar es Salaam - University Of Dar Es Salaam Library
Term of use / Privacy Policy