Repository logo
  • English
  • Català
  • ÄŒeÅ¡tina
  • Deutsch
  • Español
  • Français
  • Gàidhlig
  • Italiano
  • LatvieÅ¡u
  • Magyar
  • Nederlands
  • Polski
  • Português
  • Português do Brasil
  • Srpski (lat)
  • Suomi
  • Svenska
  • Türkçe
  • Tiếng Việt
  • Log In
    New user? Click here to register. Have you forgotten your password?
Repository logo
    Communities & Collections
    All of DSpace
  • English
  • Català
  • ÄŒeÅ¡tina
  • Deutsch
  • Español
  • Français
  • Gàidhlig
  • Italiano
  • LatvieÅ¡u
  • Magyar
  • Nederlands
  • Polski
  • Português
  • Português do Brasil
  • Srpski (lat)
  • Suomi
  • Svenska
  • Türkçe
  • Tiếng Việt
  • Log In
    New user? Click here to register. Have you forgotten your password?
  1. Home
  2. Browse by Author

Browsing by Author "Mhawili, Angela Peter"

Now showing 1 - 1 of 1
Results Per Page
Sort Options
  • Loading...
    Thumbnail Image
    Item
    Usawiri wa wahusika wa kike katika hadithi fupi za watoto za kiswahili
    (University of Dar es Salaam,, 2012) Mhawili, Angela Peter
    Utaflti huu unashughulikia usawiri wa uhusika wa wanawake katika hadithi fupi za watoto za Kiswahili. Tatizo lililotusukuma kuitafiti mada hiyo linatokana na ukweli kwamba usawiri wa wanawake katika hadithi fupi za watoto haujaguswa bado. Ingawa watoto ni sehemu muhimu ya jamii na ndio wanaohitajika katika kubadili na kuijenga upya jamii, bado suala la malezi yao halijatambulika na kufanyiwa uchunguzi wa kina. Ili kubaini na kuweka wazi suala la malezi ya watoto, tasnifu hii imejikita katika kutafiti juu ya usawiri wa wahusika wa kike katika hadithi fupi za watoto. Hadithi zilizotumika kuchambua tatizo la utaflti zinatoka katika Mradi wa Vitabu vya Watoto Tanzania. Ili kuyatimiza malengo ya utaflti husika, marejeo mbalimbali yalitumika kutoka maktabani. Hivyo utaflti huu ulikuwa wa maktabani. Pia nyenzo za kama vile kompyuta, kalamu na kalatasi, zilitumika katika kukusanyia na kuchambulia data. Mbali na mbinu hizi, mtafiti aliongozwa na nadharia za Mtazamo-Kike kama ilivyorejelewa na Njogu na Chimerah (2008). Katika tasnifu hii imebainika kuwa suala la unyanyasaji na ubaguzi wa kijinsia kwa mtoto wa kike na mwanamke limejitokeza pia katika hadithi fupi za watoto. Tasnifu hii imependekeza kuwa, ili kuibadilisha jamii kutokana na mitazamo potofu dhidi ya jinsia ya kike, na kujenga jamii yenye kufuata misingi ya haki na usawa kwa jinsia zote, watunzi wa kazi za fasihi ya Kiswahili kwa watoto washiriki katika suala la malezi ya watoto kwa kuonyesha usawa wa jinsia kwa wahusika wote.

About Library

The University of Dar es Salaam Library is a vital source of scholarly information that facilitates users to get access to learning and research resources during their studies. It provides access to a wide range of resources in both print and digital formats and conducive reading environment for users, regardless of their physical conditions. All registered users are eligible to access library resources and can borrow print materials from general shelves for a specific period of time.

Useful Links

Koha Staff Login

University Research Repository

WebMail

Aris

Book Study Room

Mara Oral History

Hansard

SOCIAL MEDIA

Instagram

Facebook

Twitter

YouTube

WhatsApp

Ask Librarian

Contact Us

Postal Address
P.O.Box 35092
Dar es Salaam

Call Us: +255 22 2410500/9 Ext. 2165 ; Direct line +255 22 2410241

Fax No:: +255 22 2410241

Email:: directorlibrary@udsm.ac.tz

2025 University of Dar es Salaam - University Of Dar Es Salaam Library
Term of use / Privacy Policy