Repository logo
  • English
  • Català
  • ÄŒeÅ¡tina
  • Deutsch
  • Español
  • Français
  • Gàidhlig
  • Italiano
  • LatvieÅ¡u
  • Magyar
  • Nederlands
  • Polski
  • Português
  • Português do Brasil
  • Srpski (lat)
  • Suomi
  • Svenska
  • Türkçe
  • Tiếng Việt
  • Log In
    New user? Click here to register. Have you forgotten your password?
Repository logo
    Communities & Collections
    All of DSpace
  • English
  • Català
  • ÄŒeÅ¡tina
  • Deutsch
  • Español
  • Français
  • Gàidhlig
  • Italiano
  • LatvieÅ¡u
  • Magyar
  • Nederlands
  • Polski
  • Português
  • Português do Brasil
  • Srpski (lat)
  • Suomi
  • Svenska
  • Türkçe
  • Tiếng Việt
  • Log In
    New user? Click here to register. Have you forgotten your password?
  1. Home
  2. Browse by Author

Browsing by Author "Mhando, Chiku Jumanne"

Now showing 1 - 1 of 1
Results Per Page
Sort Options
  • Loading...
    Thumbnail Image
    Item
    Nafasi ya maana ya dhima katika uainishaji wa nomino za kibantu data toka ki-bondei
    (University of Dar es Salaam,, 2012) Mhando, Chiku Jumanne
    Utafiti huu unahusu nafasi ya maana/dhima /a uainishaji wa nomino za Kibantu data toka Ki-Bondei. Ki-Bondei ni lugha ya Kibantu inayo/ungumzwa Kaskazini- Magharibi mwa mkoa wa Tanga nchini Tanzania. Jumla ya watafltiwa 40 kutoka katika kijiji cha Kibanda, kijiji cha Semngano, Kijiji cha Kivindo na Kijiji cha Kwasemnyau walitumiwa, uteuzi wao ulikuwa wa kinasibu. Taarifa zimekusanywa kwa watafltiwa kwa njia ya hojaji, mahojiano na ushuhudiaji. Utafiti huu ulikuwa na malengo yafuatayo: kubainisha ngeli za Ki-Bondei na idadi yake kwa kutumia msingi wa kimofolojia na kufafanua dhima mbalimbali zinazojitokeza katika viambishi ngeli vya nomino.Mkabala wa Viambishi Awali vya Nomino ulitumika kwa nia ya kutimiza malengo haya. Mkabala huu wa Viambishi Awali vya Nomino umetumika ili kubainisha viambishi ngeli vya nomino katika misingi ya umoja na wingi. Katika uchunguzi wetu tumebaini kuna ngeli 19 za Ki-Bondei. Pia utafiti huu umebaini kuwa katika lugha ya Ki-Bondei, viambishi ngeli vya nomino vina dhima kama vile umoja/wingi, ukubwa/udogo na uzuri/ubaya. Dhima zote hizi huweza kujitokeza katika kiambishi kimoja kwa wakati mmoja hali Ambayo husababisha kutokea kwa utata.

About Library

The University of Dar es Salaam Library is a vital source of scholarly information that facilitates users to get access to learning and research resources during their studies. It provides access to a wide range of resources in both print and digital formats and conducive reading environment for users, regardless of their physical conditions. All registered users are eligible to access library resources and can borrow print materials from general shelves for a specific period of time.

Useful Links

Koha Staff Login

University Research Repository

WebMail

Aris

Book Study Room

Mara Oral History

Hansard

SOCIAL MEDIA

Instagram

Facebook

Twitter

YouTube

WhatsApp

Ask Librarian

Contact Us

Postal Address
P.O.Box 35092
Dar es Salaam

Call Us: +255 22 2410500/9 Ext. 2165 ; Direct line +255 22 2410241

Fax No:: +255 22 2410241

Email:: directorlibrary@udsm.ac.tz

2025 University of Dar es Salaam - University Of Dar Es Salaam Library
Term of use / Privacy Policy